Mnyatiaji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2018
- 3,728
- 4,817
Apelekwe huko gerezani akalawitiwe aone uchunguJabir Hamisi, mkazi wa mtaa wa Mwatulole, mkoani Geita, amenusurika kuuawa kwa kipigo na mamia ya wananchi, baada ya kukutwa akiwa na kundi la watoto wadogo, akiwafundisha vitendo vya ushoga na ulawiti, hali iliyolazimu Jeshi la Polisi mkoani humo kuingilia kati na kumuondoa katika eneo hilo, kunusuru maisha yake.
View attachment 2433599