Matukio ya Ushoga duniani

Wachangiaji kuna kitu hamjakielewa huyo ni mbadili jinsia (Transwoman) na sio Shoga (Gay), ndio maana ameshinda hiyo kesi sababu transwoman ni mwanamke kama mwanamke mwingine na angekua shoga basi asingeruhusiwa kutumia choo cha kike,

Culture Me uje utoe darasa siku moja.
 
We ndio usome vizuri. walimkatalia kwa kuwa hajabadili jinsia bado ni shoga tu na sio trans..
 
We ndio usome vizuri. walimkatalia kwa kuwa hajabadili jinsia bado ni shoga tu na sio trans..
Hujui maana ya transgender ndio maana, na hata ukisoma hayo maelezo ya kingereza wamesema trans na sio gay,

Kasome kuhusu transgender na transsexual ujiongezee maarifa.
 
Hujui maana ya transgender ndio maana, na hata ukisoma hayo maelezo ya kingereza wamesema trans na sio gay,

Kasome kuhusu transgender na transsexual ujiongezee maarifa.
Niongeze maarifu ya ujinga ili iweje ? Huo muda sina bora niendelee kukimbiza noti kwanza.
 
Upo sahihi my Queen hujakosea maelezo yako,

Nikitulia nitaleta darasa la Gender kama uzi hautafutwa maana jf wamenikalia kooni hadi nakosa stimu za mahudhurio.
 
Hii habari ina faida gani?
Wewe ni mmoja wa waeneza huu ushetani.Wengi mnaopenda kuandika hizi habari,mnazipenda na kuzifuatilia.Acheni kuleta huu ujinga
 
...Nyeti zake ni za Kike au ni za Kiume' ?? Tuanzie Hapo kwanza....[emoji35]
 
Hujui maana ya transgender ndio maana, na hata ukisoma hayo maelezo ya kingereza wamesema trans na sio gay,

Kasome kuhusu transgender na transsexual ujiongezee maarifa.
...Hayo ni Maneno TU! Swali liko pale pale...ana Nyeti za Kike ama za Kiume' ??
 
Duh
 
Restroom ni maliwato (chooni), sio sehemu ya kupumzika.
 
...Nyeti zake ni za Kike au ni za Kiume' ?? Tuanzie Hapo kwanza....[emoji35]
Kwamaelezo niliosoma mimi nikuwa nyeti zake bado ni za kiume sasa kwenye kujisibitisha kuwa kweli ye ni shoga sijajua wametumia kipimo gani
 
Wewe ndio hujaelewa. Huyu ni transgender kwa maana ya kuwa ni mwanamume lakini ameamua kujiita mwanamke japo hajafanyiwa upasuiaji wa kuondoa nyeti zake!! Kwa hiyo wanaume wenzake wanamtumia kama mwanamke kwa hiyo ni shoga!!. Anavaa nguo za kike lakini akiwa na nyeti zake halisi!! Ndiyo maana wanawake wanamwogopa!!
 
Upo sahihi my Queen hujakosea maelezo yako,

Nikitulia nitaleta darasa la Gender kama uzi hautafutwa maana jf wamenikalia kooni hadi nakosa stimu za mahudhurio.
Nimekumic mume wangu, [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
Msalimie mke mwenzaa.
 
Dume jike sio Shoga, labda hujui maana ya neno Shoga.
Haya mengine nimefurahi kwa kuwa kashinda case yake.
[emoji2380][emoji304] 4reverrrrrrrr!!!!
 
Unataka tujadili nini kwenye habar kama hii?
 
Kwanza wapi wamesema Wanawake wanamuogopa? Maelezo ya Kiingereza ndio sahihi achana na huyo mtafsiri ambaye hajui hata maana ya restroom,

Still bado huna knowledge ya transgender na transsexual ndio maana huyo dada kashinda kesi, sisi waswahili tuendelee na mambo yetu ya bandari hayo hayatuhusu.
 
Upo sahihi my Queen hujakosea maelezo yako,

Nikitulia nitaleta darasa la Gender kama uzi hautafutwa maana jf wamenikalia kooni hadi nakosa stimu za mahudhurio.
Tunasubiri darasa, mwanaharakati hachokiiiiiii [emoji123][emoji123]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…