Matukio ya Ushoga duniani

Jana jioni (juma2) hapa chuo fulani Morogoro nacheki game uwanjani nikaona mapunga mawili yamelegea kama mlenda mood ya game ikakata nikaondoka pale. Sikuwahi kuona punga kwa karibu! Kumbe nami ilitakiwa nichukue hatua stahiki! Naanza kutembea na jambia sasa.

Bado zamu yako wewe mleta mada
 
Uliwatamani, si useme ukweli tyuuh.
 
Mfano weee cocastic ikienda bar unaingia choo kipi?cha kike au cha kiume?Hata hivyo mtu yoyote hana haki ya kutoa uhai wa mwingine, wala kumuamulia mwingine namna ya kuishi wala kuutumia mwili wake, only problem itakuwa kama unaingilia maisha yangu na watoto wangu...watu wengi wanakuwa offended mashoga wanapojaribu kupandikiza ushoga wao kwenye jamii ambayo haijaaamua kuwakubali
 
Mie huko bar siendi na cna sababu ya kwenda, sasa kwa tukio hili huyu shoga ana hatia gan? Alikua sahihi kwenda ktk choo hicho ni cha jinsia yake.
 
Hayo ni maoni yangu na utashi wangu,, na kwa nchi yetu haijaruhusu ushoga,, mbona umekurupukia kwenye kuibiwa,
Sasa jinsi ulivyowasilisha maoni yako ndo tatizo. Haijakaa sawa.
 
Siku ya kutamani uchafu kama huo nitamwomba Mungu atume radi initandike na kunifutilia mbali mara moja! Na wanawake wa kizazi chetu walivyo wazuri sana nawezaje kutamani laana?

Bado zamu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…