Kamunu Kmx
Member
- May 16, 2022
- 32
- 40
Duh! Binafsi sipendi mashoga ila kuua ni jambo jingine kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliwatamani, si useme ukweli tyuuh.Jana jioni (juma2) hapa chuo fulani Morogoro nacheki game uwanjani nikaona mapunga mawili yamelegea kama mlenda mood ya game ikakata nikaondoka pale. Sikuwahi kuona punga kwa karibu! Kumbe nami ilitakiwa nichukue hatua stahiki! Naanza kutembea na jambia sasa.
Bado zamu yako wewe mleta mada
Mie huko bar siendi na cna sababu ya kwenda, sasa kwa tukio hili huyu shoga ana hatia gan? Alikua sahihi kwenda ktk choo hicho ni cha jinsia yake.Mfano weee cocastic ikienda bar unaingia choo kipi?cha kike au cha kiume?Hata hivyo mtu yoyote hana haki ya kutoa uhai wa mwingine, wala kumuamulia mwingine namna ya kuishi wala kuutumia mwili wake, only problem itakuwa kama unaingilia maisha yangu na watoto wangu...watu wengi wanakuwa offended mashoga wanapojaribu kupandikiza ushoga wao kwenye jamii ambayo haijaaamua kuwakubali
Hivi shoga anakojoa akiwa amesimama au amechuchumaa?Ulevi, uzinzi, wizi, ujambazi, ufanyike wazi wazi watoto ni sawa kuiga, pia ni vitu vizuri kuigwa?
Wanakuibia mabwana? Mbna uko bitter sana lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safi sana, nasemaje na wapigwe tu,, mashetani hayo
Mie sijui sasa hilo.Hivi shoga anakojoa akiwa amesimama au amechuchumaa?
Hayo ni maoni yangu na utashi wangu,, na kwa nchi yetu haijaruhusu ushoga,, mbona umekurupukia kwenye kuibiwa,Wanakuibia mabwana? Mbna uko bitter sana lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa jinsi ulivyowasilisha maoni yako ndo tatizo. Haijakaa sawa.Hayo ni maoni yangu na utashi wangu,, na kwa nchi yetu haijaruhusu ushoga,, mbona umekurupukia kwenye kuibiwa,
Oooh na ndo isomeke hivyo hivyoSasa jinsi ulivyowasilisha maoni yako ndo tatizo. Haijakaa sawa.
Fita Ni fita mura...ushoga Ni threat Kwa existence ya human kind.Kwahiyo suluhisho ni kuua?
Siku ya kutamani uchafu kama huo nitamwomba Mungu atume radi initandike na kunifutilia mbali mara moja! Na wanawake wa kizazi chetu walivyo wazuri sana nawezaje kutamani laana?Jana jioni (juma2) hapa chuo fulani Morogoro nacheki game uwanjani nikaona mapunga mawili yamelegea kama mlenda mood ya game ikakata nikaondoka pale. Sikuwahi kuona punga kwa karibu! Kumbe nami ilitakiwa nichukue hatua stahiki! Naanza kutembea na jambia sasa.
Bado zamu yako wewe mleta mada
Safi sana mtoto mzuri upo sahihi. Huyu mpunga anatetea mpunga mwenzie aliyetambalizwaHayo ni maoni yangu na utashi wangu,, na kwa nchi yetu haijaruhusu ushoga,, mbona umekurupukia kwenye kuibiwa,