Matukio ya Ushoga duniani

Matukio ya Ushoga duniani

Kaka mmoja ambaye ni shoga anayefahamika kwa jina la Emmanuel, ameuawa baada ya kukutwa akijisaidia ktk choo cha wanaume.

Tukio hilo limetokea ktk baa 1 Nchini South Africa, ambapo shoga huyo alikuwa akinywa pombe hapo, baada ya kubanwa na haja akaelekea chooni kujisaidia ambapo kinatumiwa na wanaume.

Ndipo akaingia mtu mwingne hapo chooni na kumkuta huyo shoga, akamuuliza anatafuta nini ktk choo cha wanaume, shoga huyo wakati akiwa anatoa majibu, ndipo huyo mtu akaanza kumchoma na kisu tumboni, hali iliyopelekea damu nyingi kuvuja, na umauti umemkuta njiani akipelekwa hospitali.

Wakati tukio hilo linatokea kuna baadhi ya watu walikuwa wanashuhudia ila hawakutoa msaada wowote, hadi pale hali ilipokuwa tofauti.

Baadhi ya raia wa South Africa wametuma pole na salamu za rambirambi kwa familia ya Emmanuel, na wamelaani vikali kitendo hicho kwani sio cha kiungwana na sio cha kufurahisha, na ni jambo la kukemewa. Pia mtu aliyefanya mauaji hayo hajulikani alipo, japo hakuna hatua yeyote ya sheria iliyochukuliwa dhidi yake.

Ila jamani Waafrica mashoga wamewakosea nn lakini? Mbona mnawaandama sana? Kwani mkiwaacha wao wakaishi maisha waliyochagua mnapungukiwa nn? Kutwa kuwapiga, kuwaua, kuwabagua, kuwanyanyapaa, kuwatenga, hamuoni tabu? Hamjisikii vibaya? Hamuogopi? Inasikitisha mnoo. Ifike hatua kila mtu aishi maisha yake aliyochagua na sio kupangiana. Khaaah.

Pi na hawa baadhi ya mashoga wa ki Africa nao wanajisahau sana, wanajua wazi kwamba ktk bara letu nchi karibu zote hawatakiwi na bado haijawa rasmi utambulisho wao, lakini kutwa kujifaragua na kujishaua mbele ya jamii, ili tyuuh waonekane na wao wapo, ndo wanaishia kukutwa na haya masaibu, mtu unajijua n mlevi kwann usinunue Pombe zako ukakaa kwako ukanywa? Tena kwa uhuru kabisaaa, huko bar wanatafuta nn? Haya wengine km hapa kwetu Bongo wao ni shughuri na parties hadi wanakamatwa wanapigwa wee na kudhalilishwaaa, shida yote ya nn? Kwan usitulizane na maisha ya upekee kwani lazima kuchangamana na watu, si una balance tyuuh shoboo zako. Mara wengine kujitongozesha kwa wanaume straight, yaan ni tafrani tupu. Inauma.

Kwa tukio hili, nategemea kuona shirika la haki za binadamu hasa kutoka UN litoe tamko na lichukue hatua stahiki kulingana na husika, pia sheria ichukue mkondo wake ilk kukomesha tabia mbovu ya unyanyasi na ukatili dhidi ya mashoga.

Kila binadamu ana uhuru wa kuishi vile atakavyo ili hali asivunje kanuni, taratibu na sheria za nchi.

......

View attachment 2266053
Ngoja niwaite wenzake Geza Ulole Opportunity Cost
 
I oppose, in the strongest terms, homosexuality.

However, nothing justifies manslaughter. Everyone has a right to life. Tuiheshimu.

Tuwapinge, kuwaombea na kuwashauri wabadilike lakini tusiwaue.

As long as bado wapo hai, wana nafasi ya kuacha uovu wao.

Tuheshimu haki yao ya maisha.
 
Kaka mmoja ambaye ni shoga anayefahamika kwa jina la Emmanuel, ameuawa baada ya kukutwa akijisaidia ktk choo cha wanaume.

Tukio hilo limetokea ktk baa 1 Nchini South Africa, ambapo shoga huyo alikuwa akinywa pombe hapo, baada ya kubanwa na haja akaelekea chooni kujisaidia ambapo kinatumiwa na wanaume.

Ndipo akaingia mtu mwingne hapo chooni na kumkuta huyo shoga, akamuuliza anatafuta nini ktk choo cha wanaume, shoga huyo wakati akiwa anatoa majibu, ndipo huyo mtu akaanza kumchoma na kisu tumboni, hali iliyopelekea damu nyingi kuvuja, na umauti umemkuta njiani akipelekwa hospitali.

Wakati tukio hilo linatokea kuna baadhi ya watu walikuwa wanashuhudia ila hawakutoa msaada wowote, hadi pale hali ilipokuwa tofauti.

Baadhi ya raia wa South Africa wametuma pole na salamu za rambirambi kwa familia ya Emmanuel, na wamelaani vikali kitendo hicho kwani sio cha kiungwana na sio cha kufurahisha, na ni jambo la kukemewa. Pia mtu aliyefanya mauaji hayo hajulikani alipo, japo hakuna hatua yeyote ya sheria iliyochukuliwa dhidi yake.

Ila jamani Waafrica mashoga wamewakosea nn lakini? Mbona mnawaandama sana? Kwani mkiwaacha wao wakaishi maisha waliyochagua mnapungukiwa nn? Kutwa kuwapiga, kuwaua, kuwabagua, kuwanyanyapaa, kuwatenga, hamuoni tabu? Hamjisikii vibaya? Hamuogopi? Inasikitisha mnoo. Ifike hatua kila mtu aishi maisha yake aliyochagua na sio kupangiana. Khaaah.

Pi na hawa baadhi ya mashoga wa ki Africa nao wanajisahau sana, wanajua wazi kwamba ktk bara letu nchi karibu zote hawatakiwi na bado haijawa rasmi utambulisho wao, lakini kutwa kujifaragua na kujishaua mbele ya jamii, ili tyuuh waonekane na wao wapo, ndo wanaishia kukutwa na haya masaibu, mtu unajijua n mlevi kwann usinunue Pombe zako ukakaa kwako ukanywa? Tena kwa uhuru kabisaaa, huko bar wanatafuta nn? Haya wengine km hapa kwetu Bongo wao ni shughuri na parties hadi wanakamatwa wanapigwa wee na kudhalilishwaaa, shida yote ya nn? Kwan usitulizane na maisha ya upekee kwani lazima kuchangamana na watu, si una balance tyuuh shoboo zako. Mara wengine kujitongozesha kwa wanaume straight, yaan ni tafrani tupu. Inauma.

Kwa tukio hili, nategemea kuona shirika la haki za binadamu hasa kutoka UN litoe tamko na lichukue hatua stahiki kulingana na husika, pia sheria ichukue mkondo wake ilk kukomesha tabia mbovu ya unyanyasi na ukatili dhidi ya mashoga.

Kila binadamu ana uhuru wa kuishi vile atakavyo ili hali asivunje kanuni, taratibu na sheria za nchi.

......

View attachment 2266053
Alicho fanyiwa ni sawa tu
 
Hawa watu ni wa kuangamiza kabisa hata miili yao isionekane....ni laana kwenye jamii na taifa kwa ujumla.......ni laana kujishikimanisha na watu wa aina hiyo hayo ni MASHETANI wenye sura ya mwanadamu.....hao sio wanadamu wenzetu......ni kwa sababu tu watu tunaogopa mikono ya sheria lakini vinginevyo.....

Hata kama nimepanda gari nikigundua nimepanda na mtu aina hiyo au mwenye viashiria vya aina hiyo nashuka hata kama ni porini....ni kheri niliwe na Simba kuliko kuambatana na watu hao......

DISGUSTING CREATURES......
 
Haramu haiwezi ikabadilika na kua halali hata siku moja.
Ila kwenye hili ukweli usemwe tatizo siyo mashoga tatizo ni mabasha hao mashoga ni waathilika wa vitendo vya ubasha ...tunasoma sodoma na gomora na kujifunza kuwa mungu alituma malaika mfano wa wanadamu na kilicho tokea huko ni mabasha kutaka kuwageuza mashoga ..swali je hao malaika wangekuwa ni wanadamu wa kawaida wangeweza kupambana wasi fanyiwe ushoga ??‽ maana nimeona unafiki mkubwa sana kwenye ili swala la kulaani mashoga huku tukiwaona malijali mabasha kuwa wao ni vidume kwa kuwa wanadindisha wakati wao ndiyo tatizo ....pia ili tatizo la ubasha lina anzia kwenye ufiraji wa wanawake ...mtu anaye fira wanawake tayari ni nusu basha.hiyo roho inatabia ya kuvuka huo mpaka ...ni vigumu mtu asiye fira wanawake kuja kuwa basha
 
Msiba wa shoga sisi kwetu sherehe. Duniani kachomwa kisu ajiandae Jehanam kuchomwa moto.
Huyo shoga jehanam ana adhabu ndogo kuliko wafiraji ndiyo maana biblia imesema ..wafiraji hawata ingia uzimani ...pia inasema usilale na "mwanaume kama kulala na mwanamke"maana yake nini hayo maneno yanaonyesha kuwa mungu anajua tatizo siyo mashoga tatizo ni mabasha ...tena ubasha umechavuka kwa sababu ya ufiraji wanawake ...kitendo cha kuingilia wanawake kinyume na maumbile kinazaa roho ya ubasha
 
Back
Top Bottom