cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Hapa sasa umeongea kitu cha maana mno. Tena uwaeleweshe vizuri waelewe.Na wewe akili zako sijui kama ziko sawa ndgu yangu.
Sasa umuue kwa sababu zipi? Kakukosea nini??
Ukiwa na akili kubwa unapuuza tu as long as hakuhusu, ujichumie dhambi na kuishi kwa wasiwasi kwa kuua mtu asieathiri maisha yako kwa namna yoyote!!
Uache kuwaza kuua wanasiasa wanaokuletea ugumu maisha uwaze kuua shoga anaefirika huko na kuuharibu mkund na afya yake mwenyewe tena kwa hiyari yake.
Mwache apite hivi atajutiaga mbelembele huko..