Huko nje ukosefu wa maadili unatetewa na mahakama!!
Kuna mwanamume fulani huko Japani aliamua kuwa shoga lakini hakufanyiwa upasuaji ili kunyofoa sehemu yake binafsi na kubadilishiwa ya kike. Wizara alipokuwa anafanya kazi wakamzuia kutumia chumba cha wanawake cha kupumzikia ili kubadilisha nguo na kutumia choo na bafu hapo, kwa kuwa bado alikuwa na maumbile ya kiume. Ila aliruhusiwa kutumia sehemu ya wanaume kwa mapumziko, kubadilishia nguo na kutumia choo na bafu hapo.
Huyo jamaa hakuridhika na maamuzi ya wizara yake kwa hiyo akashitaki mahakamani. Mahakama hiyo ya chini ikampa ushindi jamaa huyo na wizara ikatakiwa na mahakama imlipe fidia kwa kumdhalilisha. Wizara ilipinga hukumu hiyo ikakata rufaa mahakama kuu. Mahakama kuu ikatoa ushindi kwa wizara kwa sababu jamaa alikuwa bado ana nyeti zake, ikaona atakuwa tishio kwa wanawake halisi!! Huyo shoga hakuridhika akaamua kukata rufaa mahakama ya juu (Supreme/top court).
Huko mahakama ya juu shoga huyo ameshinda kesi!! Wizara imeamuliwa imruhusu shoga mwenye nyeti zake atumie chumba cha mapumziko kubadilishia nguo na kutumia choo na bafu huko kwa "wanawake" wenzake. Kesi ilianza 2015 hadi mwaka huu 2023 ilipoamuliwa na mahakama ya juu kumpa ushindi shoga!! Tatizo ni kwamba wanawake halisi wanamwogopa!! hawamwamini!!
Japan’s top court rules on trans bathroom case
The judiciary said it was illegal to limit a transgender civil servant’s access to women’s restrooms at work
Lawyers speak to reporters following the Japanese Supreme Court's first ruling on LGBTQ+ rights in the workplace, at the Tokyo District Court in Tokyo, Japan, July 11, 2023. © AP / Eugene Hoshiko
The Supreme Court of Japan has struck down a Trade Ministry policy restricting the use of women’s bathrooms by a transgender official, deeming the regulation
“illegal” and
“unacceptable” following a years-long legal battle.
The court ruled against the policy unanimously on Tuesday, overturning a lower court decision in favor of the official, who has not been named. It said the Trade Ministry policy
“significantly lacked validity by excessively considering the official's colleagues and not taking into account her personal circumstances.”
The transgender staffer first filed suit against the government in 2015 after being limited to use women’s bathrooms no more than two floors away from her workplace, which the ministry said was out of consideration for other female workers. She was also permitted to use any male restroom, but argued the restrictions were discriminatory.