Matukio ya Ushoga duniani

Matukio ya Ushoga duniani

Kumuua shoga ni jambo zuri sana , Wamefanya vizuri sana.
 
kwa wanaokaa Mbagala Chamazi hili tukio limekua trending sana hii wiki

Ipo hivi, huyo bodaboda alkuwa bondeni federation anapig story na wenzake akaja mzungu anaomba apelekwe lodge,

walipofika lodge , mzungj akamsogeza bodaboda pembeni waongee, akaomba atafutiwe mtu wa kumtoa tamaa za mwili, ila sasa yeye akawaambia hana hisia na wanawake anataka shoga

Mzungu akaahidi dau la laki 5 kwa shoga ataepatikana, (ni kiasi kirefu labda alitaka mwanaume ambae hajawahi kuingiliwa) na yule boda boda akaahidiwa pesa ya udalali elf 50 na mpango uwe kimya kimya mzungu anataka usiri.

Bodaboda kakaa mpaka jioni akamfata huyo mzungu akamwambia yeye anataka hio Kazi, basi mzungu akamwambia waingie mzigoni.

Shoo ikaanza huyu boda alijua ni kimoja tu cha fasfa kumbe mzungu anatumia viagra dawa za kubusti nguvu za kurudia tendo na kuchelewa kumaliza, kijana kuona hivo ndio akaanza kupiga kelele kuomba msaada, ndipo aliporoka pale na kwenda hospital huku yule mzungu kachukuliwa na polisi.

Mzungu akawaambia yeye alikua anataka shoga kamwambia amtafutie ila badae anashangaa anamwambia yeye yupo tayari, kwa melezo hayo (huenda na rushwa) bas polisi wamemuachia mzungu imeonekana huyo kijana ni tamaa imemponza na hospital kaenda kujitibu na hela yake hajapewa hata mia na mzungu.
 
Wanamgambo wa Kihouthi wamewahukumu Raia 9 wa Yemen Kifo kwa kujihusisha na Ngono za Jinsia moja huko Sanaa Yemen.

Swali langu wako wapi wale Wanaharakati wa QUEERS FOR HAMAS ambao huwa wanaambiwa kuwa ni sawa na kusema CHICKENS FOR KFC?
 
Mazishi ya shoga wa nchini Uganda David Kato ambaye alikuwa mwanaharakati wa kutetea haki za mashoga wenzake nchini humo, yalikumbwa na balaa baada ya mchungaji kuwaambia waombelezaji wa msiba kuwa ushoga ni dhambi na wanaume waache kujigeuza wanawake.

Hasira zilitanda miongoni mwa mashoga na wasagaji wa nchini Uganda ambao walihudhuria mazishi ya David Kato, shoga mwanaharakati wa kutetea haki za mashoga nchini Uganda ambaye aliuliwa nyumbani kwa kushushiwa kipigo cha nguvu na watu wasiojulikana.

Wakati misa ya mazishi ikiendelea, mchungaji aliyekuwa akiendesha misa hiyo aliwageukia waombelezaji na kuwaambia kuwa ushoga na usagaji ni dhambi na hivyo watu wanaofanya vitendo hivyo watubu na kumrudia Mungu au la watakumbana na adhabu kali za Mungu.

Mchungaji Thomas Musoke akimalizia misa ya David Kato aliyeuliwa siku ya jumatano nyumbani kwake kwa kusema "Dunia inaelekea kubaya, watu wanayapa mgongo maandiko, wanalazimika kuacha mchezo wanaoufanya na kumrudia Mungu, huwezi kumtamani mwanaume mwenzako".

Ghafla mmoja wa mashoga alinyanyuka na kumfokea Mchungaji Musoke, "Hatujaja hapa kupigana", alisema huku mwanamke mmoja msagaji akiibuka na kusema "Wewe sio mtu wa kutujaji sisi, Kato ameenda kwa Mungu wake aliyemuumba Sisi ni nani mpaka tumhukumu Kato?".

Mchungaji Musoke alinyang'anywa mikrofoni na kuanza kusukumwa sukumwa na kuwafanya polisi waliokuwepo kwenye mazishi hayo waingilie kati na kumuondosha eneo hilo.

Kifo cha Kato kimekuwa gumzo kwenye vyombo vya habari vya magharibi ambapo taasisi za kutetea mashoga na wasagaji zimekuwa zikilaani kuuliwa kwake. Hata hivyo nchini Uganda habari za kuuliwa kwake hazijapewa kipaumbele.

Kato alikutwa ameuliwa ndani ya nyumba yake mjini Kampala baada ya kushushiwa kipigo cha nguvu na watu wasiojulikana.

Kato alijipatia umaarufu nchini Uganda baada ya kulifikisha mahakamani gazeti la Rolling Stone kwa kuitoa picha yake kwenye gazeti na kumtangaza kuwa ni shoga.

Taarifa za awali zimesema kwamba watu ambao hawajajulikana walivamia nyumba yake na kumshushia kipigo kizito kilichopelekea kufariki kwake.

Polisi wamemkamata mshukiwa mmoja. Hata hivyo mshukiwa mkuu ambaye alikuwa ni mwanaume aliyekuwa akiishi nyumba moja na Kato bado anatafutwa na polisi baada ya kukimbia.
Mungu atuepushe sisi na vizazi vyetu juu ya uchafu huo!!!
 
Wamarekani wa Bonyokwa na Wayahudi Yombo kwa Limboa wanasemaje
 
Back
Top Bottom