ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 3,971
- 4,440
Ccm bila ya hivyo ni wapi inaweza kuisimamia wenyewe?CHADEMA WAMJIBU LISSU, ANATUMIKA NA CCM CHADEMA WAMJIBU LISSU, ANATUMIKA NA CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm bila ya hivyo ni wapi inaweza kuisimamia wenyewe?CHADEMA WAMJIBU LISSU, ANATUMIKA NA CCM CHADEMA WAMJIBU LISSU, ANATUMIKA NA CCM
😆😆😆😆Tatizo la hapa Tanzania ni kwamba watu hawataki kuambiwa ukweli. Ukweli wasioupenda watauita porojo au uzushi
View attachment 3151197
Ni matunda ya ukaburu wa CCM kuwabagua wapinzani na kuwaona kama ni wahaini wasiostahili kuwepo Tanzania licha ya kuwa Katiba ya Tanzania inatamka wazi kuwa Tanzania ni nchi ya vyama vingi.Kuna jumuia kubwa tu ya Watanzania wakisikia askari polisi au kiongozi wa CCM amekufa wanafanya sherehe. Nani anatutoa katika ubinadamu kiasi hiki? Si kuna wakati Watanzania wote tuliitana ndugu?
Hii ni michezo yao wenyeweNimesoma kwamba katibu wa CCM wa wilaya ya Kilolo ameshambuliwa na kuuwawa kwa risasi na watu wasiojulikana. Hivi karibuni huko Songwe kulikuwa na tukio jingine la katibu wa CCM kuvamiwa wa watu wasiojulikana na kuvunjwa miguu.
Songwe: Katibu wa CCM avamiwa na watu wasiojulikana na kuvunjwa miguu yote miwili
Sasa, watu wenye akili walijua kwamba hili lilikuwa ni suala la wakati tu kabla ya kuanza kutokea, kwamba kuna wakati haya matokio dhidi ya viongozi wa CCM yangeanza kutokea, na kuna uwezekano mkubwa yataendelea sana.
Sababu ni kwamba, kwa muda mrefu sana, watu walioonekana kuwa wako vyama vya upinzani ndio walifanyiwa utekeaji na hata kuuwawa. Kila watu walipolalamika, serikali ya CCM haikutaka kuchukua hatua. Katika hali ambayo watu waliouwawa mara zote walikuwa walioonekana kuikosoa au kuikashifu CCM na serikali yake, uongozi wa CCM ulionekana "kufaidika" na kutekwa au kuuwawa kwao, ndio maana kukawa na hisia kuwa vyombo vya dola vilihusika na matukio ya utekaji na uuaji wa hawa watu.
KIla mtu anajua kwamba uongozi wa serikali haikulishinikiza jeshi la polisi kufanya uchunguzi juu ya matukio ya uuaji na utekaji.
Sasa uonevu huu wa muda mrefu wa watu wa upinzani ni wazi ulitoa muda wa kutosha kwa upande wa waliotekwa na kuuwawa kujipanga na kuanza kufanya yale ambayo waliona kuwa wakifanyiwa, bila serikali kuchukua hatua. Matokeo ndio haya tunayaona Kilolo, Songwe, na sijui waapi kwingineko tutarajie.
CCM na serikali yake wanapaswa kulaumiwa kwa haya matukio yanayohusu utekaji uuaji nchini, iwe yanafanywa na kwa sababu za kisiasa au kijambazi, dhidi ya wapinzani au CCM. Mmelilea jambo hili, mliamua kukaa kimya badala ya kulizuia na hatimae wale waliokuwa wakionewa kwa muda mrefu ni wazi walifikia muafaka kwamba njia pekee ni kuwapa radha ya dawa mliyoitengeneza wenyewe dhidi ya wapinzani na wakosoaji wa serikali.
Ni wazi kwamba hawa wanaofanya matukio haya dhidi ya viongozi wa CCM wameandaliwa kwa muda mrefu, na wana ujuzi wa kufanya kile ambacho waliona mnawafanyia wao.
Mliona mkuki kwa nguruwe ni mzuri sana, na sasa mtaona uchungu wa mkuki kwa binadamu, kwa sababu nyie mlijiona ni binadamu na watu wa upinzani waliokuwa wakitekwa na kuuwawa ni nguruwe na hivyo hamkupaswa kufanya chochote. What goes around comes around.
Lisu alipigwa risasi pia, nalo ni hiyo specific?Ni muhimu sana kutenganisha watu kutolewa kafara na vijana kuchukuliwa misukule kichawi na watu wa chama chao, kwasabb tu ya uongozi ndani ya chama, na mtu kupigwa risasi wazi wazi kabisa suala ambalo ni specific 🐒
andika uzi specific bas gentleman 🐒Lisu alipigwa risasi pia, nalo ni hiyo specific?
🤔🤔🤔Nimesoma kwamba katibu wa CCM wa wilaya ya Kilolo ameshambuliwa na kuuwawa kwa risasi na watu wasiojulikana. Hivi karibuni huko Songwe kulikuwa na tukio jingine la katibu wa CCM kuvamiwa wa watu wasiojulikana na kuvunjwa miguu.
Songwe: Katibu wa CCM avamiwa na watu wasiojulikana na kuvunjwa miguu yote miwili
Sasa, watu wenye akili walijua kwamba hili lilikuwa ni suala la wakati tu kabla ya kuanza kutokea, kwamba kuna wakati haya matokio dhidi ya viongozi wa CCM yangeanza kutokea, na kuna uwezekano mkubwa yataendelea sana.
Sababu ni kwamba, kwa muda mrefu sana, watu walioonekana kuwa wako vyama vya upinzani ndio walifanyiwa utekeaji na hata kuuwawa. Kila watu walipolalamika, serikali ya CCM haikutaka kuchukua hatua. Katika hali ambayo watu waliouwawa mara zote walikuwa walioonekana kuikosoa au kuikashifu CCM na serikali yake, uongozi wa CCM ulionekana "kufaidika" na kutekwa au kuuwawa kwao, ndio maana kukawa na hisia kuwa vyombo vya dola vilihusika na matukio ya utekaji na uuaji wa hawa watu.
KIla mtu anajua kwamba uongozi wa serikali haikulishinikiza jeshi la polisi kufanya uchunguzi juu ya matukio ya uuaji na utekaji.
Sasa uonevu huu wa muda mrefu wa watu wa upinzani ni wazi ulitoa muda wa kutosha kwa upande wa waliotekwa na kuuwawa kujipanga na kuanza kufanya yale ambayo waliona kuwa wakifanyiwa, bila serikali kuchukua hatua. Matokeo ndio haya tunayaona Kilolo, Songwe, na sijui waapi kwingineko tutarajie.
CCM na serikali yake wanapaswa kulaumiwa kwa haya matukio yanayohusu utekaji uuaji nchini, iwe yanafanywa na kwa sababu za kisiasa au kijambazi, dhidi ya wapinzani au CCM. Mmelilea jambo hili, mliamua kukaa kimya badala ya kulizuia na hatimae wale waliokuwa wakionewa kwa muda mrefu ni wazi walifikia muafaka kwamba njia pekee ni kuwapa radha ya dawa mliyoitengeneza wenyewe dhidi ya wapinzani na wakosoaji wa serikali.
Ni wazi kwamba hawa wanaofanya matukio haya dhidi ya viongozi wa CCM wameandaliwa kwa muda mrefu, na wana ujuzi wa kufanya kile ambacho waliona mnawafanyia wao.
Mliona mkuki kwa nguruwe ni mzuri sana, na sasa mtaona uchungu wa mkuki kwa binadamu, kwa sababu nyie mlijiona ni binadamu na watu wa upinzani waliokuwa wakitekwa na kuuwawa ni nguruwe na hivyo hamkupaswa kufanya chochote. What goes around comes around.
Ni zamu yenu sasa kuweka mahema ya matanga.Gentleman, acha upotoshaji wa kishirikiana 🐒
Magufuli alikuwa kinara wa huu uhalifu wa watu kutekwa, kupigwa risasi na kuuwawa bila hatua kuchukuliwa.Matukio ya viongozi wa CCM kushambuliwa na kuuawa yanapaswa kulaumiwa kwa CCM na serikali yake, kwa sababu wameyalea kwa muda mrefu na sasa yanawageukia.
Je, hii ni laana ya Magufuli? Na Samia amekaa kimya!
Kwanini yeye, kama mwenyekiti wa chama, hatoi maelezo?
Sometimes ni kweli, wanauana wao kwa wao.Hii ni michezo yao wenyewe
Na yote haya yanafanywa na Mtanzania dhidi ya Mtanzania mwenzake, sometimes watu wa kabila moja, dini moja? Unajua sometimes nauelewa uhasama wa Rwanda kati ya Watusi na Wahutu, lakini sio huu wa Tanzania kati ya CCM na vyama vingine. Ni wa ajabu sana!Ni matunda ya ukaburu wa CCM kuwabagua wapinzani na kuwaona kama ni wahaini wasiostahili kuwepo Tanzania licha ya kuwa Katiba ya Tanzania inatamka wazi kuwa Tanzania ni nchi ya vyama vingi.
Mifano hai ni jinsi wagombea wa upinzani walivyoenguluwa katika mchakato unaoendelea wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mfano hai mwingine ni jinsi viongozi wa upinzani wanavyotekwa,wanavyoteswa,wanavyo funguliwa kesi za uongo na wengine kupotezwa na kuuwawa kikatili na vyombo vya dola. Mambo haya yamepelekea chuki inayojionyesha sasa na huu ni mwanzo tu kinachofuata ni uhasama na uadui ambao utaishia kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe,hakuna mtu mwenye akili timamu anayeombea tufike huko lakini viongozi wa sasa wa CCM na Serikali yake wanatuelekeza huko.
Usinikumbushe JPMSometimes ni kweli, wanauana wao kwa wao.