Amen baba!
Pia naomba usiombe sana nisije nikaacha kabisa....nataka kupunguza tu.....Aaaamen!
Nilipokuwa sehemu sehemu siku hiyo, nilikuwa sipokei simu kabisa saa hiyo na Mamaa alifahamu kuwa niko free na akashangaa.
Nilipokuja kuangalia, nikajua nimeshalichemsha. Basi niliondoka na shati langu nje ndani hadi home na CHAKI ya kuchezea Pool ikiwa sikioni. Kufika home nikaanza kujitetea kuwa sikupokea kwa sababu ehhh, ehhhh tulikuwa na kimkutani nikaweka simu Silence.
Mamaa akaniangalia na kusema "Mjinga wee, tafuta uongo mwingine. Utakuja kufia kwenye POOL".
Hiyo inaitwa cheating to power 2.
kwangu mimi hiyo bolded part hiyo ndo inakuwaga tiketi ya kwenda kujichek na INFIDELITY the next day,na nikirudi jioni nalala kama gogo
Utaona nguvu ya sala Roya Roy, sala haitolewi kwa vipimo... Utasahau hata definisheni ya infidelity... Mungu atakubariki mpaka umshangae
Airisha hiyo sala kwanza....sikaki iishe kabisa...
Usimjaribu bwana Mungu wako... Mpe yesu nafasi akuonyeshe miujiza... You will never regret
Amen baba Askofu Be blessed
Kuna jamaa alisahau kuoga kumbe siku hiyo alipitia kule kule kwa maji taka kufika home kwa wife wake ananukia maji taka dah ilikuwa balaaa tuliitwa mpaka majirani kusolve kibaya zaidi K-Y ilikuwa kwenye mfuko wa shirt jamaa aibu.
Duh Teamo!
Incident1: Tulitoka kwenye Harusi maeneo ya Golden Tulip - Harusi ilikuwa ya "Kilokole" - soda kwa sana! Nilikuwa na maraffiki zangu watatu - wote tumeoa na bahati mbaya wake zetu hawakuweza kuwa nasi kwenye hiyo harusi - Tumefika "Corner Baa" yapata saa sita Usiku tukaamua kuingia "Ambiance" kupata mbili tatu halafu kila mtu aondoke - Uwezi kuamini mimi ndiyo nilikuwa wa kwanza kutoka nje - ilikuwa tayari ni saa moja kasorobo asubuhi! Well - ndoa yangu ilisimama (nilisema ukweli) lakini ilichukua kama miaka mitatu kila mara wifu ananiuliza swali lile lile "in different ways" - rafiki zangu ndoa zao zilidondoka - sina uhakika walisema nini - lakini ni siku ambayo mpaka kesho ipo akilini mwangu!
Incident 2: Nimechukua "dada eliza" maeneo fulani ya Dar es Salaam, mara tupo kwenye anga za starehe kwa sana - home nilidanganya kuwa naenda kwenye msiba wa co-worker and will be late - Kosa yule co-worker nilimtaja kwa jina! Ghafla bin Vuu yule co-worker anapitia maeneo ya nyumbani - wifu anakuwa mdadisi anaamua kutomuuliza yule jamaa habari za msiba - lakini katika mazungumzo jamaa anaonyesha wazi kuwa hakuna msiba: Jamaa ananipigia simu na kunieleza kuwa amepitia nyumbani! "eliza" nilimuacha "gesti" na kuchomoka kama mshale - nili-make another story altogether: Msiba na mfiwa ilibidi wabadilishwe!
ha ha ha ha ha Baba Enock umetoa ya kuvunjia mwaka
na hapo Corner Baa sitaki baba watoto aniambie yuko maeneo hayo wanaume mna hatari sana
yaani nyie watu mna vituko, mmmmmmh acha tu. yaani hata sijui hizi ndoa kazi yake ni nini?
si ndo huyo mbu sasa?.....
mbu ana kesi ya kujibu hapa
achana na kina teamo,aspirin na panadol. wanakutisha tu. tupo kibao ambao tumetulia . mimi samtaimu waifu ananiita "gabriel" anasemaga niko vere inosenti.
hongera mkuu kwa kujitunza vizuri
hehehe kuna mkware samtaimu nikienda lanchi anakuwa anaposti uzembe wake kupitia jina langu (nakuwa silog out). kwakweli wanaume waaminifu tumebaki wachache sana. hii habari inahuzunisha sana! serikali inapaswa ituangalie sana ili tusipoteze species yetu.
Hivi nyie wanaume mpaka hapo ndio tuwaeleweje ?haya yote tungekuwa tunasema sisi mngekuwa mbongo hapa :argue::help::help:
Duh Teamo!
Incident1: Tulitoka kwenye Harusi maeneo ya Golden Tulip - Harusi ilikuwa ya "Kilokole" - soda kwa sana! Nilikuwa na maraffiki zangu watatu - wote tumeoa na bahati mbaya wake zetu hawakuweza kuwa nasi kwenye hiyo harusi - Tumefika "Corner Baa" yapata saa sita Usiku tukaamua kuingia "Ambiance" kupata mbili tatu halafu kila mtu aondoke - Uwezi kuamini mimi ndiyo nilikuwa wa kwanza kutoka nje - ilikuwa tayari ni saa moja kasorobo asubuhi! Well - ndoa yangu ilisimama (nilisema ukweli) lakini ilichukua kama miaka mitatu kila mara wifu ananiuliza swali lile lile "in different ways" - rafiki zangu ndoa zao zilidondoka - sina uhakika walisema nini - lakini ni siku ambayo mpaka kesho ipo akilini mwangu!
Incident 2: Nimechukua "dada eliza" maeneo fulani ya Dar es Salaam, mara tupo kwenye anga za starehe kwa sana - home nilidanganya kuwa naenda kwenye msiba wa co-worker and will be late - Kosa yule co-worker nilimtaja kwa jina! Ghafla bin Vuu yule co-worker anapitia maeneo ya nyumbani - wifu anakuwa mdadisi anaamua kutomuuliza yule jamaa habari za msiba - lakini katika mazungumzo jamaa anaonyesha wazi kuwa hakuna msiba: Jamaa ananipigia simu na kunieleza kuwa amepitia nyumbani! "eliza" nilimuacha "gesti" na kuchomoka kama mshale - nili-make another story altogether: Msiba na mfiwa ilibidi wabadilishwe!
De novo umeishtukia hiyo......
Wanawake siku zote wanajifanya wako safi,
sisi tnaona sifa kujitangaza.wao wanafanya kimya kimya
tena zaidi yetu......