Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

achana na kina teamo,aspirin na panadol. wanakutisha tu. tupo kibao ambao tumetulia . mimi samtaimu waifu ananiita "gabriel" anasemaga niko vere inosenti.

weee blaza ningeatachi makomenti yako sema tu leo siyo leo......'gabriel'
 
achana na kina teamo,aspirin na panadol. wanakutisha tu. tupo kibao ambao tumetulia . mimi samtaimu waifu ananiita "gabriel" anasemaga niko vere uninosenti.
hahahahahahaha!
waifu anakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ya valuu
 
Kanisani kuna sala tu na si vinginevyo... MNANIFURAHISHA SANA NA NIMEPENDEZWA NA MATENDO YENU

Hapana Mama... Ndio maana nakushangaa... umekuwa mfungwa wa shetani halafu unawabishia...
ahsante
 
Kanisani kuna sala tu na si vinginevyo... Mnasikitisha sana

Hapana Mama... Ndio maana nawashangaa... Wamekuwa wafungwa wa shetani halafu wanashangilia...
Askofu nahitaji msaada wa kiroho....nataka nipunguze kesi za infidelity......
 
weee blaza ningeatachi makomenti yako sema tu leo siyo leo......'gabriel'
hehehe kuna mkware samtaimu nikienda lanchi anakuwa anaposti uzembe wake kupitia jina langu (nakuwa silog out). kwakweli wanaume waaminifu tumebaki wachache sana. hii habari inahuzunisha sana! serikali inapaswa ituangalie sana ili tusipoteze species yetu.
 
kwaherini na infidelity njema!!!!!
 
nahitaji maji ya baraka(VALUU+SAFARI WOTA+TONIC)
naomba niwahi kidogo kwenye upako...

kesho baba mchungaji

Mungu akubariki sana, Roho mtakatifu akazuie hila zote za infidelity unazopanga kufanya leo na pia hayo maji unayoita wewe ya baraka, yawe machungu kama shubiri ushindwe kuyatumia... Amen
 
Nitakuweka kwenye Maombi.... Lakini na wewe omba Mungu atakusaidia...:amen:
Amen baba!
Pia naomba usiombe sana nisije nikaacha kabisa....nataka kupunguza tu.....Aaaamen!
 
Nilipokuwa sehemu sehemu siku hiyo, nilikuwa sipokei simu kabisa saa hiyo na Mamaa alifahamu kuwa niko free na akashangaa.

Nilipokuja kuangalia, nikajua nimeshalichemsha. Basi niliondoka na shati langu nje ndani hadi home na CHAKI ya kuchezea Pool ikiwa sikioni. Kufika home nikaanza kujitetea kuwa sikupokea kwa sababu ehhh, ehhhh tulikuwa na kimkutani nikaweka simu Silence.

Mamaa akaniangalia na kusema "Mjinga wee, tafuta uongo mwingine. Utakuja kufia kwenye POOL".

Hiyo inaitwa cheating to power 2.
 
hehehe kuna mkware samtaimu nikienda lanchi anakuwa anaposti uzembe wake kupitia jina langu (nakuwa silog out). kwakweli wanaume waaminifu tumebaki wachache sana. hii habari inahuzunisha sana! serikali inapaswa ituangalie sana ili tusipoteze species yetu.

hahahahahah duu umenichekesha sana, mbona kila mwanamke anakutana na kimeo inaonesha hakuna mwaminifu hata mmoja
 
Back
Top Bottom