Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

ha ha ha ha!
ayayayayayayayayaaaaaaaaaaaa

lupangoooooooooooooooooooooooo
 
hahahaha kuna vichwa vimedata hapa duniani sijui ukiongeza na valuu + bangi na Gongo hapa itakuwaje hahahahah kwa raha zangu nicheke nirefushe maisha ..
Naandika vituko vyote sehemu ili nipate pa kumbania baba yoyo ..siku akija asubuhi.. labda aniambia alikufa akafufuka:fish2:
 
Hi sredi inavunja mbavu zangu dah,
Hahahahahahaha infidelity noma:smash:
 
yaani jamani nyie wanaume..puuu cjui viumbe gani nyie khaa! mie kweli sio kwamba cdanganywaji, najua ananidanganya lakini mpaka kumuelewa uongo wake ipo kazi...hapo mie ningeshikia bango nipeleke/nionyeshe huyo shoe shine nifatilie hizo sandoz mwenyewe....
 
The Following User Say Thank You to Asprin For This Useful Post:

Kimey (Today)​
 
mie naonaga kuliko mtu akurudie mida hiyo n bora ajilalie tu huko aje asubuhi kama amenogewa ki hivyo...jamani ndoa hizi khaa.
 
hahahah kuna shoe shine wa kileo wanatembea na mitambo kabisa ,akukukuta saloon anang'arisha ,akikukuta bar anakuvua Boot unapenda ndala kazi inafanyika .. tatizo linaanzia hapo
 
yaani...sasa kwanin mnajitesa hivyo? mie naona mnateseka bwana!...bado ningekuwa na swali kwa huyo frnd wako, kwanza yeye amezijua hizo habari saa ngapi na ni nani amemjulisha...baada ya kupewa majibu nitaendelea kuhoji.
 
Yesuuuuuu!Kuna siku mie nimeenda kumchukua huyu baba polisi asubuhi kabisaa,tena nikaongea nae behind bars kabisa na laki yangu nikatoa kuhonga.Eti alimtukana polisi!Atailipa aisee,im launching an investigation!Nilihisi something fishy manake alikuwa na simu yake anajibu posts za JF!
 
Uzuri ni kwamba haya mambo huwa hayapangwi wala hayarudiwi. We endelea kusubiri akudanganye alikuwa lupango.........

Wenzako wanaondoka na baibo home wanadanganya wanaenda church kumbe.......lol!
 
hapo ujue tu ulidanganywa! wenzio hiyo laki walienda kujipongeza jioni kwa valuu
 
nimecheka kwa huzuni ujue! ina maana wote mpo humu?...sasa ulivyoona anajibu hizo posts kwanini hkuhoji polic gani ya namana hiyo?
 
yaani...sasa kwanin mnajitesa hivyo? mie naona mnateseka bwana!...bado ningekuwa na swali kwa huyo frnd wako, kwanza yeye amezijua hizo habari saa ngapi na ni nani amemjulisha...baada ya kupewa majibu nitaendelea kuhoji.
Nyamayao....Hizi risks/adventures zinaokoleza utamu wa ishu yenyewe...
 
yaani...sasa kwanin mnajitesa hivyo? mie naona mnateseka bwana!...bado ningekuwa na swali kwa huyo frnd wako, kwanza yeye amezijua hizo habari saa ngapi na ni nani amemjulisha...baada ya kupewa majibu nitaendelea kuhoji.
Hayo maswali utayaulizia wapi? Utadanganywa tu na wala hutaelewa kama umedanganywa.....
 
hapo ujue tu ulidanganywa! wenzio hiyo laki walienda kujipongeza jioni kwa valuu

jamani ina umiza sana, hivi kwanini hawa watu wanatufanya wajinga hivi?.....kwanza mie kitendo cha kumtoa tu polic kwa sababu zake ziczo na kichwa wala miguu na kuniletea usumbufu usio na lazim mie laki yangu angeilipa..
 
Hapo nakubali kwamba 'shoe shiner' alinizidi upeo....hapatikani (BTW: kulikua na wizi aina hii hapa bongo...mwizi anapita bar kujifanya shoe shiner...na huyu ndo alinikamata na mie).:closed_2:
 
Hayo maswali utayaulizia wapi? Utadanganywa tu na wala hutaelewa kama umedanganywa.....

hivi lakini, mie ndio mana kama likichelewa kurudi zaidi ya saa 5 najizimia cmu nipate ucngizi, nicje lala macho kufikiria mtu mzima anarudi saa ngapi, sasa huyo anakuta micd calls 20 huyo mama alilala kweli? kila muda kubofya kama atapokelewa...
 
aaaah umenichekesha sana
 
Hapo nakubali kwamba 'shoe shiner' alinizidi upeo....hapatikani (BTW: kulikua na wizi aina hii hapa bongo...mwizi anapita bar kujifanya shoe shiner...na huyu ndo alinikamata na mie).:closed_2:

hivi hamtuonei huruma wenzenu jamani! sasa na wewe hicho kidada cha chuo c kukuchuna tu kwani kuna la ziada, hivi mnafikiriaga kuwa wanawapenda kweli....yaani mie nikilikuta naharibu jumla, nita pluc hiki na kile then naharibu kabisa....ole wake.
 
....daaaah, nimecheka sana. Kuna watu wamedata hapa duniani...ha ha ha!
Asprin hiyo ya kujipeleka Lupango powa sana aisee, ha ha ha...usingizi hauna adabu hata kidogo. Roya Roy wajanja walivyokwapua Skuna na story ya shoe shiner umeniacha hoi kweli kweli...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…