Da Womanizer
JF-Expert Member
- May 24, 2010
- 1,577
- 150
Anza wewe mom.mbona hakuna alieleza alihandle vipi hizo case za infidelity?
heheheh mimi ni mshauri nasaha bana! mara nyingi napigiwa simu usiku wa manane na kinadada ambao wamekata tamaa na maisha. nakuwa nawaliwaza mpaka wanaonaga samani ya maisha kwa sura mpya.huyu ni moderator wa INFIDELATORS.....!
sasa hivi sijui utadanganya vipi kwamba WOZA ndo ishaisha na mtoto SALIMA wa kiembe mbuzi bado anahitaji mpini
Ndani ya Karandinga mpaka Kilwa road police post. Mzee mzima ndani. Yule askari wa kike alikuwa anachonga vibaya. Anapiga simu ya wife, kwa msaada wa shetani ikawa haipatikani. Anatamba kuwa lazima mtu akomeshwe kwa kuwa wanaume tumezidi. Juhudi za kumbembeleza zikagonga mwamba. Mkanda ukavuliwa, viatu vikavuliwa mzee mzima lupango.......!
Yule askari wa kike alifanya kosa moja kubwa sana. Hakujua kuna askari mmoja wa kiume ni INFIDELATOR by proffession..... RULE No 3. Infidelators must assist each other... Nadhani mnajua kilitokea nini au nimalizie kabisa?
wewe endelea unanikatisha bwana, wachana na name caling zako.
HAHAHAHA!heheheh mimi ni mshauri nasaha bana! mara nyingi napigiwa simu usiku wa manane na kinadada ambao wamekata tamaa na maisha. nakuwa nawaliwaza mpaka wanaonaga samani ya maisha kwa sura mpya.
mbavu zangu jamani................Ahaa! Basi jamaa akamweleza askari infidelator hali halisi. Akachomoa buku kadhaa akamzawadia infidelator mwenzie. Askari akawasha defender moto mpaka ofisini kwa jamaa. Askari wa kike baada ya kuona simu haipatikani akawasha gari moto mpaka nyumbani kwa jamaa. Akamsimulia mke wa jamaa kisa chote. Mke wa jamaa hakuamini. Akamwambia anachoamini ni kuwa mume wake yuko job
Kwa kujiamini askari akamwambia mwanamke wafunge safari ofisini kwa jamaa waone kama jamaa yuko kazini. Walipofika kazini wakamuta jamaa yuko bize anachapa kazi mtindo mmoja. Mama na rafiki yake askari wakakosana mpaka jana...
Maskini mama wa watu hakujua kuwa mume wake alikuja kummega yule rafiki yake askari. Jamaa liliamua kummega yule askari kwa gharama yoyote ili SIRI idumu. Na askari eti anamkomoa rafiki yake kwakuwa hakumuamini. Rule No 5: Ukifumaniwa na rafiki yake mkeo, mtafune ili siri idumu....
inaitwa " victims brainology", ningeomba usisomee , wateja watapungua kwa upande wangu.HAHAHAHA!
hii ni kigezo tosha kabisa cha kuchelewa kurudi...
ulisoma kozi gani na mimi nifanye application nisomee huo utaalam?
Rule No 6 inambana lol!mkuu mbu mbona huji na tukio lako.....!
maana lako kwa vyovyote litakuwa la ''ki-historia''
huenda likawa ni sababu kubwa ya wewe kupewa u-moderator wa hili jukwaa mama la MMU
Kumbe dada yangu sikujua kama mmeo ni mwanachama mwenzetu hai. Ukirudi nyumbani mpigie makofi matatu tafadhali....bora wewe umeanza kushanga leo, wengine ndiyo yanayotuzeesha....
mimi nimespeshalaizi kwa ladies tu, mwanamke akinuna ,nikimuangalia tu najua kama kanuna kwa kukosa ugali au kakosa rijali. kinacofuata ni tiba stahiki.hahahaha!
MASTAAZ OF SAYANSI NI VICTIMS BRAINOLOGY.....
ngoja ni-google
Kwani imekuwaje dada? Ndivyo wanaume tulivyo, huwezi kutubadilisha. Ndivyo tulivyoumbwa....wacha tu nijinyamazie.....
Sina haja ya kusoma katikati ya mistari. LOUD and CLEAR!!!mimi nimespeshalaizi kwa ladies tu, mwanamke akinuna ,nikimuangalia tu najua kama kanuna kwa kukosa ugali au kakosa rijali. kinacofuata ni tiba stahiki.
niliwahi kusema kwenye yuziful post moja kipindi cha nyuma na leo nanukuu tena "mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja" huu ukweli haupingiki hata pweza mtabiri anaelewa hiliKwani imekuwaje dada? Ndivyo wanaume tulivyo, huwezi kutubadilisha. Ndivyo tulivyoumbwa....
Laiti mngejua.....Anyway lakini jipeni moyo
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:mimi nimespeshalaizi kwa ladies tu, mwanamke akinuna ,nikimuangalia tu najua kama kanuna kwa kukosa ugali au kakosa rijali. kinacofuata ni tiba stahiki.