hahahaha!
yaani haba bht watu hawawezi kusoma kabisa
kisingizio cha kila siku hicho na kila mtu anahubiri hivyo.......hapo ndoa haina hata mwaka, ikifikisha miaka kadhaa c ndio bac tena?
hapana! utamu wa ndoa ni kuingia na kucheza dearest.
ukiingia ndani, ukikosa kisa hiki utapata kile, ukikosa kile utapata hiki, kwa ujumla mjue wa leo sio wa kesho!
ayayayayayayaya!Teamo! Jamaa yangu wa karibu sana alirudi yuko bwiiii na boot imejaa mzigo.. Ile kesi mpaka leo hajaisha! Jamaa anadai labda alibakwa. Ila hana uhakika!
mnanisikitisha sana wapwaz...............aaah basi bana!!!
heheheh mimi ni mshauri nasaha bana! mara nyingi napigiwa simu usiku wa manane na kinadada ambao wamekata tamaa na maisha. nakuwa nawaliwaza mpaka wanaonaga samani ya maisha kwa sura mpya.
dearest moyo wangu umechoka sana tena namaanisha!!
Hivi ni kweli yote yaliozungumzwa huku yanatokea? then nyie wanaume kwann mlioa? Asprin ni kweli una mke? achaeni tu niulize
ayayayayayayaya!
hili ni tukio la kihistoria....
mtu wa hivyo hatakaa aikumbuke infidelity....na atailaani KUFA
Nbie Mum.. Wamekufanyaje tena?
mhh na hivi mnasoma hivi vimbwanga humu ndio kabisa mnakata tamaa, wengine tuliingia ingia tu, tulikiingia bila kujua maana ya ndoa, lakini ni suala la kumtanguliza mungu wako akupe ambae kidogo vimbwanga vyake ni kwa" afya"...sio vya kulala jicho moja, na vya afya pia vinahitaji moto mgumu kdgo, mkiingia ndio mtajua jinc ya kupambana navyo.....hakuna ndoa tambarare acwadaganye mtu, leo ipo hivi kesho vile, ni kuyakabili na kusonga.
mkuu mbu mbona huji na tukio lako.....!
maana lako kwa vyovyote litakuwa la ''ki-historia''
huenda likawa ni sababu kubwa ya wewe kupewa u-moderator wa hili jukwaa mama la MMU
sjui kwanini niliposoma hii post yako nimejiskia unyonge flani hivi. pole thwiitiidearest moyo wangu umechoka sana tena namaanisha!!
kweli vinawakatisha tamaa hawa mabinti, bora cc angalau tunapata experience fulani kwamba haya yapo. ningekua na uzoefu wa mambo wafanyayo wanaume katika ndoa zao mbona hata nisingeumizwaga niljiona naonewa kutendwa at that age!
sjui kwanini niliposoma hii post yako nimejiskia unyonge flani hivi. pole thwiitii
sjui kwanini niliposoma hii post yako nimejiskia unyonge flani hivi. pole thwiitii
nilisumbuka na ndoa mpaka nikakaribia kukata tamaa, nilipozinduka na kuipigania haaa sasa hivi walaa najionea yote kheri tu, hakuna wa kunitoa labda yeye ajichokee achape mwendo, nilijikomaza mdogo, ilikuwa nashindwa hata kulala vizuri nikifikiria yale maneno matamu niliyokuwa naambiwa enzi hizo yameishilia wapi, nikifikiria mr alivyo na kinyaa cha kuzaliwa lakini mbona anaweza kufanya na mwingine, nikifikiria na kufikiria bac nikaona yote yawezekana, alipoona cna nae tyme tena yeye ndio akaanza kuteseka juu yangu...jamani muingie tu! oteee ndao.