Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

Teamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2009
Posts
12,271
Reaction score
1,052
haya haya wapwaaz,mabinamuuz,friends and haters wote.........

hii ni maalumu kwa INFIDELATORS na INFIDELEES wote.

ni kawaida sana wakati wa ''infidelity'' kuambatana na matukio ya ajabu ajabu na ya kukumbukwa sana.nawakaribisha wadau TAJWA hapo juu tujaribu kubadilishana mawazo na uzoefu kuhusu haya matukio...

nitaanza mimi....

1-LAST TIME NAPIGA INFIDELITY maeneo ya riverside nilijikuta narudi home NIMEGEUZA VESTI/FULANA YA KUTANGULIZA NDANI...nakumbuka niligeuza mara mbili yaani nje-ndani na nyuma-mbele

nilivyoihandle hiyo mata kwa waifu najua mimi....

karibu wadau....
(hapa najua carmel atakuwa na tukio la kuvutia zaidi):A S 39:
 
unataka ID zetu zigundulike??
 
Usinikumbushe siku niliyorudi home nimetinga andawea ya Elizaz! Pombe bana!

Ila nilivyojitetea kwa bi mkubwa ni Mungu anajua pekee..................
 
hahaha nyie watu! .................mnaweza kuanzisha chama na mkapata usajili mara moja, kwa vile wanachama wake wametapakaa tanzania nzima.
 
Usinikumbushe siku niliyorudi home nimetinga andawea ya Elizaz! Pombe bana!

Ila nilivyojitetea kwa bi mkubwa ni Mungu anajua pekee..................
HAHAHAHAHAHA!
''waifu nilikuwa kwenye duka la roya roy pale mwenge,sasa alikuja na mzigo kutoka dubai nikawa najaribu ili nione KAMA ITAKUTOSHA....''
tatizo kitu kilikwa used....
 
hahaha nyie watu! .................mnaweza kuanzisha chama na mkapata usajili mara moja, kwa vile wanachama wake wametapakaa tanzania nzima.
at least tumepata INFIDELEE mmoja...
haya mama,UZOEFU WAKO TAFADHALI......
 
karibu roya.....

najua una kitu kizuri cha kushea na sisi INFIDELATORS...

Ngoja Bigirita aamke. Tutapata uzoefu wa kutosha. Kwa sasa ngoja nirizevu uzoefu wangu..............:fish2:
 
Ngoja Bigirita aamke. Tutapata uzoefu wa kutosha. Kwa sasa ngoja nirizevu uzoefu wangu..............:fish2:
HEHEHE!
huyu ni professional infidelator
 
Hapa natafakari kisingizio cha kuchelewa home.....WC imekua fupi mno....FIFA waongeze iwe mwaka mzima....I mean ili apatikane bingwa halali basi zicheze mtindo wa ligi na iwe ni nchi zote duniani (this includes Bongo)....
 
hahaha nyie watu! .................mnaweza kuanzisha chama na mkapata usajili mara moja, kwa vile wanachama wake wametapakaa tanzania nzima.
Mama hebu toa uzoefu wako hapa. Nataka nijue huenda waifu huwa ananichapa. lol

HAHAHAHAHAHA!
''waifu nilikuwa kwenye duka la roya roy pale mwenge,sasa alikuja na mzigo kutoka dubai nikawa najaribu ili nione KAMA ITAKUTOSHA....''
tatizo kitu kilikwa used....
Hahahahahahaha!Used tena kwenye tukio!!
 
Ngoja Bigirita aamke. Tutapata uzoefu wa kutosha. Kwa sasa ngoja nirizevu uzoefu wangu..............:fish2:

Hapa...uzoefu mwingine hata haufai......nitakuja badae kidogo....
 
HEHEHE!
huyu ni professional infidelator
Siyo Traditional?

Hapa natafakari kisingizio cha kuchelewa home.....WC imekua fupi mno....FIFA waongeze iwe mwaka mzima....I mean ili apatikane bingwa halali basi zicheze mtindo wa ligi na iwe ni nchi zote duniani (this includes Bongo)....
Hivi baada ya WC kuna mashindano gani tena yanayojiri kwenye big screen?
 
RR sema bwana usiseme tu Teamo bwana ...tunataka tuanze kuwa tunawachunguza mkirudi home..
Kupitia Experience za hapa ndani mtatusaidia sana..

Natafakari FL1, maana kama bibie anapitapita hapa basi itakua kitanzi changu...
 
Teamo najiuliza maswali kibao hivi nimpe thanks yes or No?
 
mbona hakuna alieleza alihandle vipi hizo case za infidelity?
 
Back
Top Bottom