Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

jamani ina umiza sana, hivi kwanini hawa watu wanatufanya wajinga hivi?.....kwanza mie kitendo cha kumtoa tu polic kwa sababu zake ziczo na kichwa wala miguu na kuniletea usumbufu usio na lazim mie laki yangu angeilipa..
Wapendwa msijali,hapa si ndio mjini?Ngoja tuu,atailipa mara 3. Au nifanye nne kabisa.Mie kuku wangu nemtega mwenyewe,manati nazibadilisha kila siku.
 
Sasa dada hapo mbona sijakupa kisa cha kumkalisha waifu wangu na mwizi wake kwenye meza moja bila ya yeye kujua?

nilichokifanya hakiandikiki...............eeeh Mungu!! no more comments (am nt ok and u knw that)
 
Kwani imekuwaje dada? Ndivyo wanaume tulivyo, huwezi kutubadilisha. Ndivyo tulivyoumbwa....

Laiti mngejua.....Anyway lakini jipeni moyo

nimeshajua kitambo ndio mana najinyamazia....
 
nilichokifanya hakiandikiki...............eeeh Mungu!! no more comments (am nt ok and u knw that)
hahahaha!
yaani haba bht watu hawawezi kusoma kabisa
 
mnanisikitisha sana wapwaz...............aaah basi bana!!!

ukiingia ndani, ukikosa kisa hiki utapata kile, ukikosa kile utapata hiki, kwa ujumla mjue wa leo sio wa kesho!
 
Wapendwa msijali,hapa si ndio mjini?Ngoja tuu,atailipa mara 3. Au nifanye nne kabisa.Mie kuku wangu nemtega mwenyewe,manati nazibadilisha kila siku.

akulipe kabisa, kabisa....wamezidi kutuchezea hawa bibadamu.
 
Sasa dada hapo mbona sijakupa kisa cha kumkalisha waifu wangu na mwizi wake kwenye meza moja bila ya yeye kujua?

hayo mambo ndio cyatakagi...oohh ma colleague, oohh cjui kitu gani, ctakagi coz ya mambo kama haya, unakaa na mwizi wako bila kujijua.
 
kuna formula moja naomba INFIDELATORS waijue....

''UKIONA KUNA NAMBA KUBWA YA INFIDELATORS UJUE INFIDELEES NI WENGI MARATATU ZAIDI...kwasababu infidelators wana opareti kwa MULTIPLE OF THREE!MEANING THAT INFIDELEES ARE EQUAL TO THREE TIMES THE INFIDELATORS....''

tuwapigie makofi infidelees tafadhali

hahahahaha lol
 
Back
Top Bottom