Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

Nitahoji moja baada ya jingine:

Ukamilifu wa uweza wa MUNGU unaupimaje? Uwepo wa shetani ni kipimo cha udhaifu wake au Ukuu wake?

Una uhakika wa kiwango gani kuwa uwepo wa shetani haukamilishi ukuu wa MUNGU na hii ndio tafsiri halisi ya aliyokusudia kwamba binadamu atapita hapa anapopita sasa na anaujua mwisho kabla ya mwanzo?
 
Akitoka Mungu unafuata ww.
Mungu baba anajua kila kitu kuhusu viumbe walioko chin yake kwenye realm , ila yeye mwenye hawez. kwann? Ukiona future yako unaweza kuiona ujue kuna kitu kwenye realm ni kikubwa zaid yako
 
Tuambie ww hilo jina umelipta wapi
Qur-an imemtaja Malakul Mauti
Ww tuambie hilo izrael umelitoa wapi?

Uislamu unaenda na ushahidi usibaki kusema watu wanamwita ivo ila ndo ukweli? Kma sio basi ayo ni mambo ya watu tu na sio Uislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…