Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kwema Wakuu!
Pattern za Kisiasa Mwaka huu kuelekea uchaguzi zimekaa kiajabu sana. Katika intelejensia patterns hizo zinaweza kuonyesha lengo au matokeo yanaweza kuwa kitu gàni. Kwa siasa za Miaka ya hivi karibuni yàani miaka kumi hii patterns hizo zinafanana kwa kiasi fulani.
Ukiangalia miaka mitano iliyopita kuanzia Miaka ya 2015-2020 na Miaka ya 2021 Mpaka Sasa 2024 kuelekea 2025 patterns zinafanana kwa kiwango kikubwa.
Pia soma
~ Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea
~ Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
~ Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
Utekaji, Mauaji, Utenguzi na uteuzi wa mara kwa Mara, maandamano, kuanza kufunguliwa makesi ya hapa na pale. Patterns ni zilezile.
Hii inatoa pîcha gàni?
Hii inamaanisha Jambo gàni?
Hii kwa watabiri wanaweza kueleza kitu gàni?
Je, hali hii inatokea kwa nasibu tuu au mratibu wa jambo hili ni mmoja (yuleyule)?
Nawaachia maiki.