Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Mambo ni mengi. Tupo kwenye cheka tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Siasa za Tanzania ukiziendekeza Lazima utakuwa maskini
Hebu fikiria wakati tunajadili Maandamano ya Chadema na tija yake tayari Tundu Lisu naye keshalianzisha na TIGO
Mbunge wa Morogoro mh Babu Tale na Kijana wake Diamond nao wamekuja na yao kwamba Walipotaka kuingia Chumbani Kwa Pdidy Mwenyeji Wao aliwashtua hivyo wakatoka salama japo walimkasirikia mwenyeji Wao
John Mnyika naye akimaliza Novena ya Siku 9 anaanza Maombi ya Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni ya Siku 30 hivyo wanaomsubiri waendelee na shift
Ngachoka kabisa 🐼🤣
Hayo ndiyo maswali unayoiuliza Black Mirror au Ouija Board kama unayo.
Marshall your facts then ask what the future will be.
Au ni maswali you ask your subconscious mind aka Urim na Thumim.
Inategemea wakubwa watatoa single gani
Mauaji, Utekaji na mengine yo yalioorodheshwa ni mambo ya kawaida kwa sasa kutokea Marekani na Ulaya....yaani dunia nzima.
Watu 1000 wameshapotea Marekani, Democrats, Republicans, Independent and what have you baada ya kubonyeza post huko chini-upo uwezekano mkubwa wasipatikane milele. Lakini husikii kwamba so and so walikuwa Republicans or Democrats etc, kwanini? .
Tatizo hapa kwetu, ni hawa CHADEMA wanatumia matukio haya kana kwamba ni ya Kisiasa tyu.
Mwisho wa siku, hawa chadema na uharakati wao, wa waachie vyombo vya Usalama nchini kufanya kazi zake, hii itakuwa pamoja na Waandishi wa Habari kufanya uchunguxi wa kina kuhusu matukio haya.
=======
Yule Jamaa wa goli la Mkono alishindwa wizara.
Kuna Maneno na matamshi mengine hayafai kwa afya za wasomaji, yule bwana alipaswa kuyawekea gag na yasitumike kabisa. Mfano, kusema aliyepotea alikuwa ni mwanachama wa chama au itikadi fulani etc etc
......
Ili huyo ni chura na sio mtu. Japo naafikiana na wewe, kila mtu atakufa.Kifo ni kifo Mkuu.
Mbaya zaidi Kila mtu atakufa.
Ili huyo ni chura na sio mtu. Japo naafikiana na wewe, kila mtu atakufa.