Pre GE2025 Matukio yanayoongoza wakati huu ni utekaji, mauaji, teuzi, maandamano na kesi. Je, nini kinafuata?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)


Hatari Sana
 
Mauaji, Utekaji na mengine yo yalioorodheshwa ni mambo ya kawaida kwa sasa kutokea Marekani na Ulaya....yaani dunia nzima.

Watu 1000 wameshapotea Marekani, Democrats, Republicans, Independent and what have you baada ya kubonyeza post huko chini-upo uwezekano mkubwa wasipatikane milele. Lakini husikii kwamba so and so walikuwa Republicans or Democrats etc, kwanini? .

Tatizo hapa kwetu, ni hawa CHADEMA wanatumia matukio haya kana kwamba ni ya Kisiasa tyu.

Mwisho wa siku, hawa chadema na uharakati wao, wa waachie vyombo vya Usalama nchini kufanya kazi zake, hii itakuwa pamoja na Waandishi wa Habari kufanya uchunguxi wa kina kuhusu matukio haya.
=======
Yule Jamaa wa goli la Mkono alishindwa wizara.

Kuna Maneno na matamshi mengine hayafai kwa afya za wasomaji, yule bwana alipaswa kuyawekea gag na yasitumike kabisa. Mfano, kusema aliyepotea alikuwa ni mwanachama wa chama au itikadi fulani etc etc

......
 
Inategemea wakubwa watatoa single gani
 
Habari pekee itakayoleta furaha ni ya mauti ya ⬇️

 
Hayo ndiyo maswali unayoiuliza Black Mirror au Ouija Board kama unayo.
Marshall your facts then ask what the future will be.
Au ni maswali you ask your subconscious mind aka Urim na Thumim.
 
Hayo ndiyo maswali unayoiuliza Black Mirror au Ouija Board kama unayo.
Marshall your facts then ask what the future will be.
Au ni maswali you ask your subconscious mind aka Urim na Thumim.

Mkuu Bado natafuta Mkalimani anitafsirie hapa
 

Tatizo hapa kwetu mambo yameenda kwa patterns zinazofanana kwa kiwango kikubwa.

Sasa hivi utashangaa makesi Kila Kona. Ngoja utaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…