Matukio yanayotokea kwa sasa nchini yanahusiana vipi na siasa?

Masikini watoto yatima wa tz kutwa kulalamika
 
Haki huinua taifa bali dhambi ni aibu ya kila mtu,hali iliyopo ni ishara tosha kuwa uongozi uliopo madarakani hauna kibali mbele za mungu (maoni binafsi)
 
nyie si mnasema nchi imetulia demokrasia imerudi hakuna mauaji na hamgombezwi gombezwi tena🙄
Hiyo ni hatua kubwa sana ya kushukuriwa, kuliko hata ujenzi wa barabara au madaraja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…