pharao
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 397
- 690
Tukio la kwanza ni mzee mzima Ontario kuja kwa Mbwembwe na baadae kujikuta akiishia kwenye shimo la Tewa baada ya KUPEWA ZA USO NA MEMBERS!
Tukio la pili ni Bwana mkubwa Bujibuji kuja na ID ya Kike aloipachika jina la "Gilesii"[emoji1787]. Haikuchukua Muda, Members Wakagutuka! Alichokipata siri yake.
Tukio la tatu ni Mzamiaji Parabora. Yeye alikuja JF kwa mikogo kabisa akidai kwamba anaishi Geneva Uswisi. WanaJF wakamtoa mafichoni, na kubainika kuwa jamaa ni Mgongaulimbo tu yupo humuhumu.
HEBU ONGEZA TUKIO LOLOTE AMBALO HUTAKUJA LISAHAU KUTOKA JF. Iwe kuchekesha au Serious Threads (Ukiweka na link ya tukio ni safi)