msindikizaji
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,763
- 2,888
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna watu ni wanoko humu ndani,unaweza ukahisi landa wanakujua,yaani mtu anakuletea post yako ya 2013 ukidai una mke na watoto 3,wakati post ya sasa umesema uko form 4[emoji23][emoji23][emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app