Matukio yatakayokumbukwa JF miaka 50 ijayo

Matukio yatakayokumbukwa JF miaka 50 ijayo

Mimi ya giLEsi ndio iliniacha hoi kati ya zote.
Kwa faida ya ambao hawakuwepo, Bujibuji alikuwa na ID yenye jina la giLesi (ilikuwa mwaka 2014) akaja na mada kuwa;
Ana makalio laini na makubwa pia yanacheza sana. Amejaribu kuyabana kwa kuvaa taiti mbili lakini bado yanacheza. Hali hiyo imepelekea vijana kumpigia mluzi kila anapopita.
Bahati mbaya mods wakafanya yao, mwandishi wa mada akasomeka ni Bujibuji. Kuna member wa MMU alipoona mchezo akakimbilia Jukwaa la habari na Hoja Mchanganyiko, akaandika;
Imethibitika: Bujibuji ni mwanamke (akaweka na link ya uzi wa makalio makubwa) Watu wakabaki midomo wazi!
NB: nyuzi zote zilishafutwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom