Matukio yatakayokumbukwa JF miaka 50 ijayo

Matukio yatakayokumbukwa JF miaka 50 ijayo

Hatari sana mkuu, ukiwa na Id mbili au zaidi unatakiwa kuwa makini na mstaarabu. Ukichafua hali ya hewa au ukijaribu kucheza na watu mods wanaziunga id chap unabaki unafurahi na roho yako.


😃😃😃😃😃
 
Nakumbuka mdada Kinondoni Sweetheart alikuwa antuhabarisha visa vya Captain Sindbad (Baharia) visa vimepangika matukio kama yote, .ashauzi kibao hali iliyopelekea hadi nikazama PM na kujibiwa na vi msg vilivyojaa mashauzi ya kike[emoji38][emoji38]Siku Mods walipofanya yao [emoji38][emoji38] nashangaa muanzisha akageuza jina na kuwa Kanungila Karim aisee nilitema mate chini [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Daah siku ya leo nilikua sijacheka kabisa. Baada ya kusoma comment yako hakika nimeongeza siku za kuishi😂😂😂
 
Tukio la kwanza ni mzee mzima Ontario kuja kwa Mbwembwe na baadae kujikuta akiishia kwenye shimo la Tewa baada ya KUPEWA ZA USO NA MEMBERS!

Tukio la pili ni Bwana mkubwa Bujibuji kuja na ID ya Kike aloipachika jina la "Gilesii"[emoji1787]. Haikuchukua Muda, Members Wakagutuka! Alichokipata siri yake.

Tukio la tatu ni Mzamiaji Parabora. Yeye alikuja JF kwa mikogo kabisa akidai kwamba anaishi Geneva Uswisi. WanaJF wakamtoa mafichoni, na kubainika kuwa jamaa ni Mgongaulimbo tu yupo humuhumu.

HEBU ONGEZA TUKIO LOLOTE AMBALO HUTAKUJA LISAHAU KUTOKA JF. Iwe kuchekesha au Serious Threads (Ukiweka na link ya tukio ni safi)
Jf kuna mengi
 
Mkuu amu Mimi sikuwa mpigaji wakuu, nilikuwa katika msoto na mpaka leo bado nasota japo nimeacha inshu za kuanzisha thread! Nasota kimya kimya.
Kipindi kile nilifanikiwa kupata kazi ya kuhudumia mifugo huko Bagamoyo, cc Kurunzi ni shahidi.
Bro, ww si blogger au?
 
kuna kademu humu nilikuw nakafukuzia kila kakicoment naruka nako sasa nikawa nakapanga mistari kiaina,kakianzisha thread nakuwa wa kwanza kucoment,kuna fala sijui aliusoma mchezo akaja kuscreenshot thread yangu ya 2013 niliyokuwa najigamba eti nakula sana totoz then nazipiga chini. thread ya 2013 anaileta 2019 .tangia kipind hicho yule manz akaanza kunikwepa.

nilikuja kubadili ID baada ya kupoteza simu na kukaa mda mrefu bila kuingia online.


kuna watu humu wameshapitia id zote,ukizingua kidogo wanakumwagia mzigo wote alaf hawaongei washenz hawa.
 
Kwa kweli uzi siwezi kuhusahau kuna mwamba alikuja huku akajifanya yeye ni mwanamke single mother mtoto wake kaungua moto anaomba msaada amtibishe mwanaye

Kumbe Ni dume lipepiga mtoto wa watu picha akaleta huku alikusanya pesa zetu huku siyo kidogo
 
Back
Top Bottom