simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,168
Muone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lisemwalo lipo
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂
unajifanya spy. Ngoja siku umwagwe humu ndo utaona raha yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lisemwalo lipo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
unajifanya spy. Ngoja siku umwagwe humu ndo utaona raha yake
Ontario hajambo? 😂😂😂 nakumbuka ulivyokuwa front seat kwenye nyuzi zake
Is Kanungila Karim [emoji23][emoji23][emoji23]
Ontario hajambo? 😂😂😂 nakumbuka ulivyokuwa front seat kwenye nyuzi zake
Nani alikuwa anakuchekesha sana kwenye nyuzi za Forex!?Hizo nyuzi zilikuwa zinachekesha sanaa
OkUmeshaonana nae?
Msalimie sana.
Baada ya kushtukiwa ama[emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo.... Ni kweli..... Makalio yalitingishika Hadi yaka produce umeme kiwango Cha grid ya taifa
Labda alikuwa anatembelea kama guestTangu uingia jf 2012 wakati I'd yako inaonesha umejoin 2018
Naomba huu uziIle battle ya Humble African na CCNP ENGINEER ilikuwa Vita Moja mbaya saana kwa engineer alitandikwa mwanzo mwisho Hadi akaisusa ID yake Hadi leo imebaki gofu.
Ile Vita ilimuacha na majeraha makubwa saana Engineer.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Yule aliepostiwa picha yake hana masikio alikuwa nani?
Dah!!wengi tu pia walokuwa wanamtetea wakasema forex is not for everyone
Unajua ilikuwa ligi kali