Matukio yatakayokumbukwa JF miaka 50 ijayo

Mimi ya giLEsi ndio iliniacha hoi kati ya zote.
Kwa faida ya ambao hawakuwepo, Bujibuji alikuwa na ID yenye jina la giLesi (ilikuwa mwaka 2014) akaja na mada kuwa;
Ana makalio laini na makubwa pia yanacheza sana. Amejaribu kuyabana kwa kuvaa taiti mbili lakini bado yanacheza. Hali hiyo imepelekea vijana kumpigia mluzi kila anapopita.
Bahati mbaya mods wakafanya yao, mwandishi wa mada akasomeka ni Bujibuji. Kuna member wa MMU alipoona mchezo akakimbilia Jukwaa la habari na Hoja Mchanganyiko, akaandika;
Imethibitika: Bujibuji ni mwanamke (akaweka na link ya uzi wa makalio makubwa) Watu wakabaki midomo wazi!
NB: nyuzi zote zilishafutwa.
 
wadada kwa wa kaka

wa mama kwa wa baba

wake kwa waume

wapo wanapiga umbeya.

Mkulima wa mahindi
 
Mimi ya giLEsi ndio iliniacha hoi kati ya zote.
Kwa faida ya ambao hawakuwepo, Bujibuji alikuwa na ID yenye jina la giLesi (ilikuwa mwaka 2014) akaja na mada kuwa;
Ana makalio laini na makubwa pia yanacheza sana. Amejaribu kuyabana kwa kuvaa taiti mbili lakini bado yanacheza. Hali hiyo imepelekea vijana kumpigia mluzi kila anapopita.
Bahati mbaya mods wakafanya yao, mwandishi wa mada akasomeka ni Bujibuji. Kuna member wa MMU alipoona mchezo akakimbilia Jukwaa la habari na Hoja Mchanganyiko, akaandika;
Imethibitika: Bujibuji ni mwanamke (akaweka na link ya uzi wa makalio makubwa) Watu wakabaki midomo wazi!
NB: nyuzi zote zilishafutwa.
Aisee
 
ntafurahi sana Nikipata wateja wa mahindi kutoka humu ndani

Mkulima wa mahindi
 
Humble African Vs CCNP Eng.
Jamaa hadi kabadirisha ID from CCNP ENGINEER to Mama Deborah.
Before alikuwa anajiita Padre Mcharo.
mama debo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkulima wa mahindi
 
Mimi ya giLEsi ndio iliniacha hoi kati ya zote.
Kwa faida ya ambao hawakuwepo, Bujibuji alikuwa na ID yenye jina la giLesi (ilikuwa mwaka 2014) akaja na mada kuwa;
Ana makalio laini na makubwa pia yanacheza sana. Amejaribu kuyabana kwa kuvaa taiti mbili lakini bado yanacheza. Hali hiyo imepelekea vijana kumpigia mluzi kila anapopita.
Bahati mbaya mods wakafanya yao, mwandishi wa mada akasomeka ni Bujibuji. Kuna member wa MMU alipoona mchezo akakimbilia Jukwaa la habari na Hoja Mchanganyiko, akaandika;
Imethibitika: Bujibuji ni mwanamke (akaweka na link ya uzi wa makalio makubwa) Watu wakabaki midomo wazi!
NB: nyuzi zote zilishafutwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule bwana aliyetuchota ametoka kigoma kwa train na buku 2 mfukoni hana pa kufikia.
Alitukesesha siku zote za safari yake.

Sasa hivi naona karudi kwenye uhalisia wake.

aise

mama wawili
Jamaaa napanga kuonana naye next month CORONA IKIPUNGUA... KIPIND HICHO NATUMIA ID YA @willo12 BWANA aise NAYE HAKUNISOMA KABISA . PM ZILIKUWA NYINGI SANA...KISA PICHA YA KISHUNDU
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom