Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
We dada kunywa sprite kwa MangiNimemmind, siyo mara ya kwanza anaongelea hiyo issue kwenye nyuzi tofauti tofauti. Halafu anajidai aliogopa akahisi ni kama yeye.
Ukiamua kuwa kamati ya roho mbaya jioneshe wazi. Kaanga sumu haswa wenzako tukujue tukualike na kwenye vikao. Hamna haja ya kujidai kama mtakatifu huku unakaanga sumu kinafki.
Sent using Jamii Forums mobile app