Melanny
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 1,247
- 2,234
Hao wanao tuchunguzaga na kutupa banMond ni kina nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wanao tuchunguzaga na kutupa banMond ni kina nani?
Hahaahaaaa.....Aaah lile varangati sio mchezo, ila bibie alikomaa kukutetea acha kabisa. Hope ndio ulimuoa maana[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Hizo picha za utupu unazojidai uliogopa, ungeogopa wala usingetaka kulikumbushia. Ila umekumbushia maana ulipenda na unatamani tukuulize zilikuwa ni za nani.Ila ile siku ziwekwe picha za utupu niliogopa sana..
Nilihisi kama ni mm vile
Tarehe 13 jan 2018 Ontario kalipuliwa
Tarehe 13Amay 2020 Wa uswiz kalipuliwa
Tarehe 16 june 2017 Raimundo akalipuliwa..
Huzo tarehe vipi wakuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Hizo picha za utupu unazojidai uliogopa, ungeogopa wala usingetaka kulikumbushia. Ila umekumbushia maana ulipenda na unatamani tukuulize zilikuwa ni za nani.
Subiri siku upatwe tukio lako hapa Jf. Tutakuwa tunakumbushia kila baada ya wiki.
Aisee 😀😀Hizo picha za utupu unazojidai uliogopa, ungeogopa wala usingetaka kulikumbushia. Ila umekumbushia maana ulipenda na unatamani tukuulize zilikuwa ni za nani.
Subiri siku upatwe tukio lako hapa Jf. Tutakuwa tunakumbushia kila baada ya wiki.
Nimemmind, siyo mara ya kwanza anaongelea hiyo issue kwenye nyuzi tofauti tofauti. Halafu anajidai aliogopa akahisi ni kama yeye.Aisee 😀😀
😂 😂 😂 😂 😂Yule aliepostiwa picha yake hana masikio alikuwa nani?
Naona leo mmeamuamulia 13 mega pixel tatizo lake ni moja ukiweka hela za vicoba vibaya anatembea nazo [emoji23][emoji23][emoji23]
hapana nimesikia pia siyo mchoyo
😂 😂Anawezaakawa kashtuka ,ila labda kajua mm boya tu.
🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duhBujibuji alikua na fekero lake anajifanya mwanamke. Uzi upo nadhani
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Nimemmind, siyo mara ya kwanza anaongelea hiyo issue kwenye nyuzi tofauti tofauti. Halafu anajidai aliogopa akahisi ni kama yeye.
Ukiamua kuwa kamati ya roho mbaya jioneshe wazi. Kaanga sumu haswa wenzako tukujue tukualike na kwenye vikao. Hamna haja ya kujidai kama mtakatifu huku unakaanga sumu kinafki.
Weeeeh!!! [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Hahaahaaaa.....
Hakuna nilie muoa katika wale aiseee.
Hapo ndipo nilikuja kuamini kumbe hizi ndoa hazipo fea kabisa..[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwaje hiyo?Hizo picha za utupu unazojidai uliogopa, ungeogopa wala usingetaka kulikumbushia. Ila umekumbushia maana ulipenda na unatamani tukuulize zilikuwa ni za nani.
Subiri siku upatwe tukio lako hapa Jf. Tutakuwa tunakumbushia kila baada ya wiki.
Moto moto, baridi baridi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Naunga mkono hoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekosea wa kumuuliza.Ilikuwaje hiyo?
one in a Million Full Package
Kama unafahamu unaweza sema mkuuUmekosea wa kumuuliza.