Matukio yatakayokumbukwa JF miaka 50 ijayo

Matukio yatakayokumbukwa JF miaka 50 ijayo

Tutakumbuka kuwa hata Jf ilikuwa inapambana na Corona Virus.

Mpendwa Mteja, tunakusihi endelea kujifunza na kufuata maelekezo ya Wataalam kuhusu namna ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya #CORONAVIRUS. Aidha, tunakushauri kuepuka kusikiliza taarifa zisizo sahihi kutoka vyanzo visivyoaminika.

SIGNATURE BOY.
 
Hatari sana mkuu, ukiwa na Id mbili au zaidi unatakiwa kuwa makini na mstaarabu. Ukichafua hali ya hewa au ukijaribu kucheza na watu mods wanaziunga id chap unabaki unafurahi na roho yako.
Kuna mmoja ananitingoza pm.hajui tu mond wameunga fekero lake.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mmoja ananitingoza pm.hajui tu mond wameunga fekero lake.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂 😂 😂 😂 😂
Kwamba jamaa hajastuka bado...
Mi nawaomba mods wasijekuunga na Id langu la uchochoroni maana naweza nisipate nguvu za kurudi jf hadi nalamba mchanga. Sijui niwaombe mods waifute hiyo Id nyingine maana ni ngumu kujua ni lini siku ya kuja kwa mwana wa adam.
 
😂😂 😂 😂 😂 😂
Kwamba jamaa hajastuka bado...
Mi nawaomba mods wasijekuunga na Id langu la uchochoroni maana naweza nisipate nguvu za kurudi jf hadi nalamba mchanga. Sijui niwaombe mods waifute hiyo Id nyingine maana ni nguvu kujua ni lini siku ya kuja kwa mwana wa adam.
Anawezaakawa kashtuka ,ila labda kajua mm boya tu.
🤣
 
Back
Top Bottom