Matukio yatakayokumbukwa JF miaka 50 ijayo

Matukio yatakayokumbukwa JF miaka 50 ijayo

Ivi ile party ya mwisho wa mwaka ya akina mzigua iliwahi kufanyika?
 
Dahhh....
Kuna jamaa aliwahi kuja na Uzi akiomba ushauri kule jf Doctor.
Ile jamaa iliuweka kabisa mushedede, ulikuwa unavipele kwamba ndio vinamsumbua pale kwenye kichwa kinapo zama.
Aiseee yule jamaa alikuwa ana roho ngumu sana, sasa kuna mdada akaakomenti akawa anausifia wakati mleta mada anaumwa...teh[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliscreenshot
 
Kuna bifu za wadada Kugombeaa wanaume

nakumbuka kuna Siku zilitupiwa picha humu

jamaa alikusanya picha za wadada tofauti tofauti akawa anatupia,
wadada na makundi yao nayo wanachambana,
watu matumbo joto...Poleni sana wenzangu mlioliwa kimasihara...

msiogope kushare.
 
Back
Top Bottom