Matukio yatakayokumbukwa JF miaka 50 ijayo

Matukio yatakayokumbukwa JF miaka 50 ijayo

Halafu kuna member mmoja ni verified member lakini kumbe alikuwa na Id nyingine ya kike na alikuwa anaitumia kudatisha wanaume humu kiasi cha kutuma picha za mitego, wacha mods waunganishe Id hiyo ya kike na hiyo verified.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Jamaa alipotea jf kwa muda sana, nimeanza kumuona last week.
Watu watamkumbusha tu ngoja akosee mahali[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu kuna member mmoja ni verified member lakini kumbe alikuwa na Id nyingine ya kike na alikuwa anaitumia kudatisha wanaume humu kiasi cha kutuma picha za mitego, wacha mods waunganishe Id hiyo ya kike na hiyo verified.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Jamaa alipotea jf kwa muda sana, nimeanza kumuona last week.
Muhaya mmoja alisema "Ogopa Mungu na mitandao"

In Vino Veritas (In Wine Lies the Truth)
 
Hakuna mtu aliesema wewe ni mpigaji.
Mkuu amu Mimi sikuwa mpigaji wakuu, nilikuwa katika msoto na mpaka leo bado nasota japo nimeacha inshu za kuanzisha thread! Nasota kimya kimya.
Kipindi kile nilifanikiwa kupata kazi ya kuhudumia mifugo huko Bagamoyo, cc Kurunzi ni shahidi.
 
Iliyoniumiza ni ile post ya jamaa alikuwa na matatizo ya kifua nadhani akawa anaomba sana msaada wa mawazo hadi anatumia picha akiwa hospitali, siku akapost natamani hadi kufa kwa maumivu... Kuna watu waka reply una ngoja nini kufa, hakukaa sana akazidiwa akafa.... Ni post iliyoniuma
so sad.... hapa watu walikosa utu... unyama,ulitendeka hapa
 
😂😂 😂 😂 😂 😂
Mkuu, akija kunisimanga uje unitetee
Verified id : Kanungira karim
Id ya uchochoroni : Mjukuu wa chifu kama sikosei.
Alitikisa sana kule jukwaa la picha😂😂😂😂
Alikua anajiita Kinondoni sweetheart
 
Back
Top Bottom