Matukio yatakayokumbukwa JF miaka 50 ijayo

Hiyo ya 7800 ilivunja rekodi ikabidi mabaharia waiweke kwenye katiba yao.[emoji16][emoji16][emoji16]
Duh! sijui nilikuwa wapi habari za kutumbuliwa kwa Paraboa napata leo ila alizidi misifa kweli nimeamini JF kiboko yote kwa yote mimi sisahau ya yente na 7800(Sweta la Tanzania).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu kuna member mmoja ni verified member lakini kumbe alikuwa na Id nyingine ya kike na alikuwa anaitumia kudatisha wanaume humu kiasi cha kutuma picha za mitego, wacha mods waunganishe Id hiyo ya kike na hiyo verified.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Jamaa alipotea jf kwa muda sana, nimeanza kumuona last week.
Mtaje jina tumjue,
[emoji2960]

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
Nani huyo

Back
Top Bottom