Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Sipo hivyo. Siyo kila kitu kinapaswa kusimuliwa.Kama unafahamu unaweza sema mkuu
Kuna vingine ukisimulia hadi wewe msimuliaji unaonekana fala yaani unajidhalilisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipo hivyo. Siyo kila kitu kinapaswa kusimuliwa.Kama unafahamu unaweza sema mkuu
Dada mbona kama povu?Umekosea wa kumuuliza.
Ukisoma post yangu kwa nia ya kuelewa huwezi kuuliza hili swali. Btw hujambo?wewe ulijuaje bestito
Kuhusu kuparanganyika sikujuakuparanganyika?
sikumbuki
Ishu Kama hii ni ya kuiacha.Sipo hivyo. Siyo kila kitu kinapaswa kusimuliwa.
Kuna vingine ukisimulia hadi wewe msimuliaji unaonekana fala yaani unajidhalilisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Moto moto, baridi baridi.
Kwani shingapi?[emoji23][emoji23][emoji23]
😂 😂 😂 😂 😂Humble African Vs CCNP Eng.
Jamaa hadi kabadirisha ID from CCNP ENGINEER to Mama Deborah.
Before alikuwa anajiita Padre Mcharo.
Bujibuji alikua na fekero lake anajifanya mwanamke. Uzi upo nadhani
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1487][emoji1487][emoji1487] daahh wekeni link wakubwaKuna mtu alikuwa anavunga demu na ID ya kike humu alikuwa anatingisha Vidume wa JF kama Money Penny vile huko MMU.
Mara Paaap, Mods wakafanya yao ( Kuunganisha IDs ) akawa Erick otieno.
Tehe Tehe!
[emoji23][emoji23] picha niliiona ila uzi sikuufatilia wala kusoma komentiDahhh....
Kuna jamaa aliwahi kuja na Uzi akiomba ushauri kule jf Doctor.
Ile jamaa iliuweka kabisa mushedede, ulikuwa unavipele kwamba ndio vinamsumbua pale kwenye kichwa kinapo zama.
Aiseee yule jamaa alikuwa ana roho ngumu sana, sasa kuna mdada akaakomenti akawa anausifia wakati mleta mada anaumwa...teh[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana mimi nimekuwa mvivu wa kutafuta vimwana jf, maana unaweza kujipinda kushusha gazeti kumbe unamshushia msela mwenzio.Nakumbuka mdada Kinondoni Sweetheart alikuwa anayuhabatisha visa vya Captain Sindbad (Baharia) visa vimepangika matukio kama yote, .ashauzi kibao hali iliyopelekea hadi nikazama PM na kujibiwa na vi msg vilivyojaa mashauzi ya kike[emoji38][emoji38]Siku Mods walipofanya yao [emoji38][emoji38] nashangaa muanzisha akageuza jina na kuwa Kanungila Karim aisee nilitema mate chini [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Ndiyo maana mimi nimekuwa mvivu wa kutafuta vimwana jf, maana unaweza kujipinda kushusha gazeti kumbe unamshushia msela mwenzio.
Jesus! ndo yule mwenyewe hasira vile?!Humble African Vs CCNP Eng.
Jamaa hadi kabadirisha ID from CCNP ENGINEER to Mama Deborah.
Before alikuwa anajiita Padre Mcharo.
Nakumbuka mdada Kinondoni Sweetheart alikuwa anayuhabatisha visa vya Captain Sindbad (Baharia) visa vimepangika matukio kama yote, .ashauzi kibao hali iliyopelekea hadi nikazama PM na kujibiwa na vi msg vilivyojaa mashauzi ya kike[emoji38][emoji38]Siku Mods walipofanya yao [emoji38][emoji38] nashangaa muanzisha akageuza jina na kuwa Kanungila Karim aisee nilitema mate chini [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzee taratibu basi, kuna mtu hana masikio..!