Matukio yatakayokumbukwa JF miaka 50 ijayo

Ya simu inawaka moto
Ila jf ni hatari sana. Yaani ukiwa unaanzisha uzi, unachangia kama vile watu hawakuoni vile. Ila siku ukizingua na wakabahatika kukubana, unaweza ukawa unaiogopa simu kama vile watatoka humo kuja kukusimanga uso kwa uso.

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
 
Ila jf ni hatari sana. Yaani ukiwa unaanzisha uzi, unachangia kama vile watu hawakuoni vile. Ila siku ukizingua na wakabahatika kukubana, unaweza ukawa unaiogopa simu kama vile watatoka humo kuja kukusimanga uso kwa uso.
kuna watu ni wanoko humu ndani,unaweza ukahisi labda wanakujua,yaani mtu anakuletea post yako ya 2013 ukidai una mke na watoto 3,wakati post ya sasa umesema uko form 4[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Duh! aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…