johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kwa tathmini niliyoifanya katika mikoa ya Mara, Iringa na Mneya ni kwamba Chadema bado ina ushawishi kwa kiasi fulani na hata kama itapoteza wabunge lakini itapata madiwani.
Kilimanjaro na Arusha hali ni tete na yawezekana ikabakia katika historia tu kwamba kaskazini " iliwahi" kuwa ngome ya upinzani hapa Tanzania bara.
Maendeleo hayana vyama!
Kilimanjaro na Arusha hali ni tete na yawezekana ikabakia katika historia tu kwamba kaskazini " iliwahi" kuwa ngome ya upinzani hapa Tanzania bara.
Maendeleo hayana vyama!