The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Wanajavi hali si hali Kila mtu haamini kinachoendelea.
Gharama za maisha ziko juu kuliko wakati wowote ule, watu wanatafuna hela za serikali bila huruma..
Hakuna mradi unaoeleweka, president akiongea ni porojo tu Hana maneno yenye mashiko.
Wafanyabiashara wanatia huruma umeme hamna, ukipita mitaa ya kariakoo utadhani kuna mashindano ya kuwasha magenerator.
Nuru imepotea akina mama na watoto wamepauka kama wameoga majibu, swali wanaloshindwa kupata majibu mbona miaka Mitano ya magufuli hali hii haikuwepo? Ni hujuma au nini?
Tuendelee kusubiri mda ni mwalimi mzuri