The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Ccm ni shida... ata jua siku akiona mgombea ameshinda kwa kishindo kuliko aliyepitaHutaamini macho yako
Labda wasiwe watanzania hawa. Kishindo kitakua kikali sana.
Utakuta unanuka njaa hadi kwapani ila unajitutumua tuHayo ni matatizo yako na mtazamo wako... fanya kazi kijana... CCM ita endelea kuwepo na utaiacha kama ulivyo ikuta....
Sina cha kukujibu kiongozi... kwa heshima yako...!
Wasubiri kwa utulivu waone mambo yatakavyo endaKatika awamu zote CCM itashinda Kwa kishindo ktk awamu ya SITA bila ubishi. Dua za ufipa hazitaleta ushawishi wowote
2020 walipiga magoti kule iringa 2025 watalala kwenye matope kabisaWanajavi hali si hali Kila mtu haamini kinachoendelea.
Gharama za maisha ziko juu kuliko wakati wowote ule, watu wanatafuna hela za serikali bila huruma..
Hakuna mradi unaoeleweka, president akiongea ni porojo tu Hana maneno yenye mashiko.
Wafanyabiashara wanatia huruma umeme hamna, ukipita mitaa ya kariakoo utadhani kuna mashindano ya kuwasha magenerator.
Nuru imepotea akina mama na watoto wamepauka kama wameoga majibu, swali wanaloshindwa kupata majibu mbona miaka Mitano ya magufuli hali hii haikuwepo? Ni hujuma au nini?
Tuendelee kusubiri mda ni mwalimi mzuri
Ni kweli Dr Mahera si bado yupo? Na Internet mtazima tena😅🤣Katika awamu zote CCM itashinda Kwa kishindo ktk awamu ya SITA bila ubishi. Dua za ufipa hazitaleta ushawishi wowote
Ccm imechokwa mnoWanajavi hali si hali Kila mtu haamini kinachoendelea.
Gharama za maisha ziko juu kuliko wakati wowote ule, watu wanatafuna hela za serikali bila huruma..
Hakuna mradi unaoeleweka, president akiongea ni porojo tu Hana maneno yenye mashiko.
Wafanyabiashara wanatia huruma umeme hamna, ukipita mitaa ya kariakoo utadhani kuna mashindano ya kuwasha magenerator.
Nuru imepotea akina mama na watoto wamepauka kama wameoga majibu, swali wanaloshindwa kupata majibu mbona miaka Mitano ya magufuli hali hii haikuwepo? Ni hujuma au nini?
Tuendelee kusubiri mda ni mwalimi mzuri
Hata wewe endelea kuota ushindi.Siasa ni sayansi na sayansi ina anzia hapa...
Anza kuhesabu kura kuanzia hapa
View attachment 2404039
Yani hakuna Mbeya, Arusha, Knjaro...
Endeleeni kuota... ushindi...
View attachment 2404040
Mi naongelea Hali halisi ya Tanzania wewe unaniongelea mimi.Hayo ni matatizo yako na mtazamo wako... fanya kazi kijana... CCM ita endelea kuwepo na utaiacha kama ulivyo ikuta...
Ccm isiwe sababu ya umasikini wako Au shida zako
Usitafute sehemu ya kusukumia shida zako
Kuzaliwa masikini sio kosa bali kosa ni kufa masikini
Endelea kutoa kibanzi...Mi naongelea Hali halisi ya Tanzania wewe unaniongelea mimi.
Mimi nikiwa na hela huku nimezungukwa na watu fukara hakuna amani wala faida.
Afu inaonekana we mbinafsi Sana. Ndiyo mnaokula Hadi mbegu, huoni binadamu wenzako wanavyoteseka?
2025 Rais Samia Suluhu lazima atashinda kwa kishindo maana amefanya maendeleo mengi sana Tanzania wewe hauwezi kuyaona kwasababu unaangalia ukiwa na makasilikoWanajavi hali si hali Kila mtu haamini kinachoendelea.
Gharama za maisha ziko juu kuliko wakati wowote ule, watu wanatafuna hela za serikali bila huruma..
Hakuna mradi unaoeleweka, president akiongea ni porojo tu Hana maneno yenye mashiko.
Wafanyabiashara wanatia huruma umeme hamna, ukipita mitaa ya kariakoo utadhani kuna mashindano ya kuwasha magenerator.
Nuru imepotea akina mama na watoto wamepauka kama wameoga majibu, swali wanaloshindwa kupata majibu mbona miaka Mitano ya magufuli hali hii haikuwepo? Ni hujuma au nini?
Tuendelee kusubiri mda ni mwalimi mzuri
Nitajie japo mawili tu mkuu, hayo mambo makubwa2025 Rais Samia Suluhu lazima atashinda kwa kishindo maana amefanya maendeleo mengi sana Tanzania wewe hauwezi kuyaona kwasababu unaangalia ukiwa na makasiliko