Matumaini yamepotea. Hadi sasa sioni wa kuipigia Kura CCM 2025

Wa kuipa CCM kura ni NEC, Polisiccm na TISS.
 
2025 Rais Samia Suluhu lazima atashinda kwa kishindo maana amefanya maendeleo mengi sana Tanzania wewe hauwezi kuyaona kwasababu unaangalia ukiwa na makasiliko

CCM haitegemei kura kukaa madarakani, vyombo vya dola na tume isiyo huru ya uchaguzi ndio zinazowapa ushindi wa kishindo. Lakini wananchi wanaojitambua hawatakuwa na muda wa kupiga kura.
 
Sema we ndo umepoteza matumaini kwa kuwa huna akiri ila wenye akiri wanasema mama for presidency till she dies
 
Umesema ukweli kabisa.toka awamu zianze tnzania,awamu ya sita ni awamu ya hovyo kabisa kuwahi kutokea na wakijifanya kumuweka huyo bibi yao 2025 naamini atapata kura za familia yake tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…