Matumizi Mbadala ya Mkaa/Matumizi usiyoyajua kuhusu Mkaa

Matumizi Mbadala ya Mkaa/Matumizi usiyoyajua kuhusu Mkaa

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
MATUMIZI USIYOYAJUA YA MKAA..

1. Kama raba yako inatoa harufu mbaya weka mkaa .. itaondoka ..πŸ˜‚..

2. Kama chumba chako kinanukanuka weka mkaa harufu yote itaondoka .. itaingia kwenye mkaa ..

3. Kama furiji yako inatoa harufu mbaya safisha Kisha weka mkaa

4. Kama mwili wako unatoa harufu mbaya ya jasho tafuna tafuna mkaaa.. πŸ˜‚

5. Kama choo chako kinatoa harufu mbaya sana weka mkaa harufu itakata ..

6. Kama una mboga unataka kesho upike Twanga mkaa Kisha koshea yale maji zitakuwa fresh mpaka next day ..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

7. Twanga Twanga Kisha Weka kwenye bustani kuipa rutuba mboga zako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

8. Kama unahisi chakula kina sumu weka mkaa utanyonya sumu yote .. Kisha kula hafii mtu mwaka huu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

9.kama meno yako ya njano Kama jezi ya Yanga piga mswaki na mkaa yatakuwa meupee Kama pamba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

10. Kama umepika na ukaunguza weka mkaa kukata harufu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

11. Wale wazee wa gambe Kama umeamka na hangover usinywe supu tafuna mkaa itakataa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

12....
FB_IMG_1690024903779.jpg
 
12
Kama una tumbo la kuhara/kuharisha
ponda mkaa kiasi weka kwenye maji kunywa.

Tumbo litakata
 
"Nilikuwa napiga kimoja chali lakini baada ya kula mkaa sado moja sasa napiga 6+"
πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜€
 
Maeneo yanayoamini sana kwenye ushirikina wakianika nafaka nje msimu wa mavuno lazima ukute vipande kadhaa vya mkaa kwenye nafaka.
 
Back
Top Bottom