Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

asante kwa dawa, ila asali inachelewesha mtu kukata roho siku ya kufa, unahangaika muda mrefu. nnavosikia...!!!
 
mkuu Mzizi mkavu asali na mdalasini vinasaidia kuongeza nguvu za kiume?na matumizi yake yakoje?
Kula pamoja na Asali na Mdalasini kutwa mara 3 kwa muda wa mwezi 1 asubuhi mchana na usiku kabla ya kula kitu Asali kijiko kimoja kikubwa cha kulia wali na mdalasini kijiko kimoja kidogo.
 
Kula pamoja na Asali na Mdalasini kutwa mara 3 kwa muda wa mwezi 1 asubuhi mchana na usiku kabla ya kula kitu Asali kijiko kimoja kikubwa cha kulia wali na mdalasini kijiko kimoja kidogo.

hapo hapo. huu mchanganyiko unafanya mtu apunguze mwili, loose weight?
 
thanks boss mimi naendelea kuapply ile ya kupaka kulingana na ushaur wako then majibu utapata...
 
wana jamii forum hv kazi ya asali ni zipi? tuambizane basi
 
kule misri asali ilitumika kuhifadhia maiti hata leo ukiweka kiumbe hai ndani ya asali hakiozi,kuponya majeraha ya moto,kuzibua mishiba iliyozibwa na mafuta nk
 
Wapo wanaotumia kama sukari kwenye vinywaji mfano chai.
 
unaweza kupaka kwenye koni then unairamba ramba inakuwa tamu mnooooo
 
Inalainisha ngoz ya uso!ukiwa unapaka mara kwa mara mida ya asubuh na jion!angalizo usitembee nayo juan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…