Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Jombi ckusomi vizuri kila kitu lazima kiwe na steps hata mtoto kutembea lazima kuwe na steps anaanza kutambaa, kusimama halaf anatembea sasa sembuse utafiti...halafu uwe unatoa mifano kukazia mada c o unasema tu hesabu za leo wamemodify kuliko zamani bila mifano mi naona kama porojo...
asali kama tujuavyo ni dawa nzuri kwa binadamu haswa utakapo tumia ukiwa mzima au mgonjwa itakusaidia kukutibu na M
haina madhara kwa binadamu. Nimegunduwa ugunduzi wangu juu ya faida ya asali kwa binadamu nimeona bora na mimi niwape
wenzangu faida katika uchunguzi wangu. Nimegunduwa ikiwa utatumia asali kuinywa asubuhi kabla ya kula au kunywa
kitu kijiko kimoja na wakati wa usiku wa kwenda kulala ukila hiyo asali tena kijiko kimoja kwa muda wa siku 40 itakusaidia
kukutibu na kusafisha ini na figo uchafu ulikuwepo ndani yake. Kwa hiyo ninawapeni ushauri wangu muwe munatumia asali
ya nyuki kila siku kwa huo muda mutafaidika na huo uchunguzi wangu asanteni. Masharti ya asali ni hivi iwe asali ya
nyuki wakubwa tena iwe asali mbichi haijaipikwa wala kuchanganywa na kitu chochote kile. Fanyeni kazi utafiti wangu
muje munipe feedback asanteni sana.
Aaaahhh umenichekesha sana jombi,.kwa mfano wako hapo juu jibu ni utakuwa umeokota jiwe lakin kugundua kama ni la thamani hapo utafiti/steps ndo unafata/zinafata..unatakiwa ulipeleke kwa wataaalamu wakuthibitishie hilo jiwe ni la thamani kwa kuanalyze na kukompare na majiwe mengine ya thamani then ndo watakuwambia hilo jiwe la madini ni la thamani ama la au limegunduliwa ama halijagunduliwa somewhere else. kama ni jipya na la thamani then hilo jiwe wanaweza hata kuliita kwa jina lako..kukuacknowledge..lakin jombi hapa usilete ligi mi nilikuwa na nia nzuri tu ya kutaka kujua Mzizimkavu amefanyajefanyaje hadi akagundua na inakubalika tu Duniani kwa ma researchers kuulizana coz Dunia sshv ni kijiji na kushare knowledge ni kitu cha kheri na si uchawi..Juma pili njema.:israel::israel:Hivi unadhani kila kitu kinagunduliwa kwa steps, nishakwambia labda ugunduzi wako ufanyikie maabara lakini kama ni kwingine huwa hakuna steps. Mfano leo hii ukawa unatembea ukaokota jiwe lenye madini mabayo hayajawahi kugunduliwa duniani, utauta ugunduzi wako ulikuwa wa kufuata steps?
Jamani mwenzenu huwa nikila asali tumbo linaniumaa why??
Cc: Mzizi mkavu
Nimefanya utafiti kwangu mimi mwenyewe ndio nikagunduwa huo ungunduzi wangu kuwa asali inao uwezi wa kusafisha Ini na Figo ukiitumia siku 40 Mfululizo na pia itakuwezesha wewe Mwanamme Dushelele (Penis) lako kusimama kila wakati unapo taka kulitumia kimapenzi kazi kwenu.
Asali ya nyuki wakubwa kuipata ndio kazi kwako.Mzizimkavu umesema asali ya nyuki wakubwa( je ya nyuki wadogo haitaleta matokeo hayo uliyosema?) Sasa ngoma kuipata hiyo ambayo haijashugulishwa...(haijachakachuliwa)
Asali ya nyuki wakubwa kuipata ndio kazi kwako.
Changamoto ni kuipbta asali ambayo haijachakachuliwa.
Nhpo huku katavi nimekabidhiwa lita 5 zipo getho. Yaani naweka kwenye wali,kande,juisi,chai. Nikichoma mahindi ipo pembeni. Najipaka hadi usoni lakini haiishi tu!!. Mchana huu nimekula na karanga. Yaani natamani hadi ugali nile na hii asali!!