Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Jombi ckusomi vizuri kila kitu lazima kiwe na steps hata mtoto kutembea lazima kuwe na steps anaanza kutambaa, kusimama halaf anatembea sasa sembuse utafiti...halafu uwe unatoa mifano kukazia mada c o unasema tu hesabu za leo wamemodify kuliko zamani bila mifano mi naona kama porojo...
Mfano mwingine wachimbaji wadogo kugundua kuwa sehemu fulani kuna madini hawahitaji kufuata njia za utafiti ambazo wasomi huzifuata ili kugundua uwepo wa madini mahali fulani.