Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

MziziMkavu, ungetoa na dosage kabisa: kutwa mara ngapi na kwa kiwango kipi mkuu? maana sisi wenye matatizo ya nguvu za kiume tusije tukaanza kuibugia kwa fujo na ikaleta madhara badala ya kutuponya:lol:[/QUOTESexual Debility, Asali huzidisha hamu na huzidisha mbegu za kiume yaani sperm, asali inaaminika ni kmama magical yaani dawa ya maajabu huzidisha uzazi kwa mwanammke na huzidisha hamu kwa mwanamme (kwa wenye wake inawafaa hii) Hurudisha nguvu za kiume.

Matumizi yake unatumia kila siku kijiko kimoja cha kulia wali asubuhi kabla ya kula kitu na usiku baada ya kwisha kula pia ukitumia hivyo itakusaidia kusafisha ini na figo na kukupa nguvu ya kiume.
 
MziziMkavu, ungetoa na dosage kabisa: kutwa mara ngapi na kwa kiwango kipi mkuu? maana sisi wenye matatizo ya nguvu za kiume tusije tukaanza kuibugia kwa fujo na ikaleta madhara badala ya kutuponya:lol:
Sexual Debility, Asali huzidisha hamu na huzidisha mbegu za kiume yaani sperm, asali inaaminika ni kmama magical yaani dawa ya maajabu huzidisha uzazi kwa mwanammke na huzidisha hamu kwa mwanamme (kwa wenye wake inawafaa hii) Hurudisha nguvu za kiume.

Matumizi yake unatumia kila siku kijiko kimoja cha kulia wali asubuhi kabla ya kula kitu na usiku baada ya kwisha kula pia ukitumia hivyo itakusaidia kusafisha ini na figo na kukupa nguvu ya kiume.

hii ndio yenyewe sasa full kuduuu mpaka unakimbia kituzzzz..
ubarikiwe thanks;-)
 
Shukrani kwa dondoo hii muhimu mkuu. ni somo zuri sana naamini litawanufaisha walio wengi mim nikiwa mmoja wao
 
Ni kweli hata mimi asali mbichi ilifagia kikohozi kilichoshindikana kwa vidonge vya ampiciline. Nilitumia vijiko viwili vikubwa kutwa mara tatu baada ya siku tatu kikohozi kwa heri wala kifua hakikubana tena,ila sharti la kutokunywa vitu vya baridi lilikuwepo. kwa watoto ndo kabisaa! Vijiko viwili kutwa mara mbili hawakoi tena.
TATIZO:
Upatikanaji wa asali iliyo ghafi(asali mbichi 'pure') umekuwa na utata hasa kwenye majiji kama Dar es salaam kwa asilimia kubwa asali imechakachuliwa yaani imechemshwa na kuongezwa maji au kuongezwa sukari guru hivyo kupunguza au kuondoa kabisa uwezo asilia wa asali. hili mzizimkavu unalionaje?
 
Ni kweli lakini ukitaka Asali safi mbichi itabidi utoke nje ya Jiji la Dares-Salaam uende vijijini ndipo utapata Asali safi lakini sio hapo jijini utauziwa Asali Feki.
 
Ni kweli hata mimi asali mbichi ilifagia kikohozi kilichoshindikana kwa vidonge vya ampiciline. Nilitumia vijiko viwili vikubwa kutwa mara tatu baada ya siku tatu kikohozi kwa heri wala kifua hakikubana tena,ila sharti la kutokunywa vitu vya baridi lilikuwepo. kwa watoto ndo kabisaa! Vijiko viwili kutwa mara mbili hawakoi tena.
TATIZO:
Upatikanaji wa asali iliyo ghafi(asali mbichi 'pure') umekuwa na utata hasa kwenye majiji kama Dar es salaam kwa asilimia kubwa asali imechakachuliwa yaani imechemshwa na kuongezwa maji au kuongezwa sukari guru hivyo kupunguza au kuondoa kabisa uwezo asilia wa asali. hili mzizimkavu unalionaje?

Red: Mkuu kwa ufahamisho Asali ni antibiotic ya nguvu sana kuliko. Mimi nashuhudia ifuatavyo: kuna mwanamke mmoja alikuwa na donda kubwa mguuni nyama za chini ya goti. alitumia kila aina ya dawa ikashindikana na akakata tamaa kabisa na akawa anakifunga donda lile na kipande cha kanga na kuvaa nguo ndefu. Siku ilitokea aliivuta ile nguo nikaona donda linavyovuja maji. Nikamshauri apate Asali ya nyuki wadogo a.k.a wasiouma halafu apake baada ya kukiosha kidonda na yuso au hydrogen peroxide alizozitumia sana awali bila mafanikio. nilimwambia afanye hivyo asubuhi na usiku anapokwenda kulala. Amini usiamini yule mama kidonda kilianza kupanda na ngozi kuanza kubabuka kuzunguka kidonda na kupata mwasho - zote dalili za kupona. Baada ya wiki mbili ilikuwa kovu. kinachoendelea ni kuwa bacteria "wanafyonza" asali kwa njia ya osmosis na kutuna hadi ku disintergrate hivyo kuendelea kupungua in their number gradually hadi mtu anapopona. Nilipata maarifa haya kutokana na kusoma utafiti waliofanya India kwa wagonjwa waliotoka kupasuliwa na matokeo yalikuwa mazuri sana, uki google unaweza ipata taarifa hiyo. ngoja niipekue tena nitaianika hapa.
 
Wanajamvi naomba ushauri wenu asali mbichi ambayo haijachanganywa iwe ya nyuki wadogo ama wakumbwa inamadhara gani kwa wanawake wajawazito wenye mimba changa ( wiki 1- wiki 12) kwani nina rafiki yangu wa karibu mkewe alikuwa mjamzito hana tatizo lolote akalamba asali ya nyuki wadogo mbichi isiyochanganywa hakumaliza masaa 12 ujauzito wake ukatoka na alikuwa na mimba ya wiki 7.
mamamkwe wake yaani mama wa mkewe akamwambia kuwa asali huwa inaharibu sana mimba hivyo hakupaswa kumpa mkewe asali kwani ndio chanzo cha mimba kuharibika, na walipokwenda kwa daktari wa kina mama alipomchunguza hawakuona tatizo lolote lilo sababisha mimba kutoka kwani mama hakuwa akisumbuliwa na kitu chochote kile.

naomba kujua kama kuna mtu hhumu jamvini anaweza kunifafanulia kama ni kweli asali inaharibu mimba zikiwa changa!!
nawakalisha
 
Do!

Labda ana allergy na asali mbichi wafanye uchunguzi...............lakini nijua vyo mimi asali ni tiba ya vitu vingi sana kwa mwanadamu
 
Wanajamvi naomba ushauri wenu asali mbichi ambayo haijachanganywa iwe ya nyuki wadogo ama wakumbwa inamadhara gani kwa wanawake wajawazito wenye mimba changa ( wiki 1- wiki 12) kwani nina rafiki yangu wa karibu mkewe alikuwa mjamzito hana tatizo lolote akalamba asali ya nyuki wadogo mbichi isiyochanganywa hakumaliza masaa 12 ujauzito wake ukatoka na alikuwa na mimba ya wiki 7.
mamamkwe wake yaani mama wa mkewe akamwambia kuwa asali huwa inaharibu sana mimba hivyo hakupaswa kumpa mkewe asali kwani ndio chanzo cha mimba kuharibika, na walipokwenda kwa daktari wa kina mama alipomchunguza hawakuona tatizo lolote lilo sababisha mimba kutoka kwani mama hakuwa akisumbuliwa na kitu chochote kile.

naomba kujua kama kuna mtu hhumu jamvini anaweza kunifafanulia kama ni kweli asali inaharibu mimba zikiwa changa!!
nawakalisha
Asali kwa Mwanamke mwenye mimba changa haifai mpaka mimba iwe kubwa kiasi cha miezi 5 na kuendelea anaweza kutumia hiyo Asali. Asali ina joto kali sana kiasi cha kuharibu hiyo mimba changa na Kumtoa huyo mwanamke Damu ya Hedhi asitumie tena Mtu Mwenye mimba ya ( wiki 1- wiki 12) baada ya hizo wiki 12 yaani kuanzia mwezi wa 5 na kuendelea anaweza kutumia hiyo asali. Angalia kwa chini faida ya Asali.

Asali ni moja katika vitu tulivotunukiwa na Mola wetu ambayo ndani yake hutibu magonjwa yote ila mauti.

Inshallah tutaanza historia ya Asali kwa ufupi, Asali imetumika miaka elfu na zaidi huko nyuma katika mji wa Egypt watu wa Egyptwalikuwa wakitumia asali katika kila jambo lao kwani walikuwa wakiamini kuwa sali inazidisha afya, pia walikuwa wakiweka katika makaburi ya wakubwa wao.. kwani asali hakiozeshi kitu chochote kile.

Kiwango na vitu vilivyokuwemo katika Asali (madini)
Sukari iliyomo katika asali ni glucose,fructose,na sucrose.
Glucose ni sukari ya kawaida ambayo imo katika katika miili au damu zetu na pia hupatikana katika matunda na mbogamboga.

Fructose pia inajulikana km ni grape sugar mvunjiko wake uko mwepesi zaidi ya glucose pia hujenga tissue katika mwili
Sucrose ni mchanganyiko wa glucose na fructose kiwango chake ni kidogo sana katika asali lakini inafanya asali ifanye kazi ya kusanga kwa muda mdogo.

Kwa research iliyofanyika tumeona katika asali kuna :
22 amino acids, 28 minerals, 11 enzymes, 14 fatty acids na 11 carbohydrates, kiwango cha vitu hivyo hupungua au huodoka kabisa ikiwa utavichoma kwa moto wa 150F.
Moisture 20.0% - calcium 5 mg
Protein 0.3% - Phosphorus 16 mg
Minerals 0.2% - Iron 0.9 mg
Carbohydrates 75.5% - Vitamins C 4 mg (samall amount of Vitamin B complex)

Umuhimu na faida za Asali
Asali ni moja katika nyanja ya ujoto na nguvu (energy) ni muungano wavyakula vya carbohydrates na asali ni moja katika inayosaga vyakula vya carbohydrates kwa wepesi mno.Huingia moja kwa moja katika mishipa ya damukwasababu ya viwango vyake.Viungo vyote vya mwili hufanya kazi bora asali inapoingia katika miili yatu yaani tukinywa au kujipaka.

Kijiko kimoja cha asali ukichanganya na nusu ya maji ya ndimu katika glasi ya maji ya safi ya uvuguvugu (yaani sio ya moto sana) ukinywa asubuhi hurudisha hamu ya kula na huondoa maradhi ya acidty.
Mchanganyiko wa asali na alcohol (hii sheikh nitapenda kuuliza je inafaa kwa waislaam??) inaaminika kuwa huzidisha kuota kwa nywele, inasemakana kuwa Japan hutumia sana kwa kufanya nywele zao kuwa silky yaani nyepesi na zenye rutba, huchanganyaka vijiko kadha vya aali (hutegemea na nywele zenyewe) hutia na alcohol kidogo na kuchanganya pamoja, hupaka katika nywele hadi kufikisha katika ubongo huwachia wka muda wa masaa 2 na baadae kukosha

Asali pia ni nuzri sana kwa wenye matatizo ya moyo, kwani asali inafanya msagiko wa mara moja katika mwili wala haileti madhara.Kwa wenye matatizo ya moyo ni vizuri sana ikiwa watakunywa asali mara tano kwa wiki chukua mfano kama wa sala ikifika time ya swala ukishaswali chukua kijiko kimoja unywe., pia kwa wenywe watatizo ya moyo hii huwa sababu ya

mafuta mengi mwilini au mzunguko wa damu kupungua kwa kasi flani au kuzidi kwa kasi fulani kwahivo wenywe matatizo wa moyo hawaruhusiki kabisa kufanya kazi nzito wala kutokula usiku ni lazima mtu ale usiku japo kdg na aende japo hatua mia ili chakula kizidi kusagika. Pia tunawashauri wenywe matatizo ya moyo wanywe glass moja ya maji liyochanganywa asali anda maji ya ndimu na pia kama utaamka usiku unywe tena,Asali husaidia katika maumivu ya mishipa ya moyo.

Kwa wenywe maradhi ya Anaemia (upungufu wa damu mwilini). Asali husaidia katika kujenga Haemoglobin katika mwili hii husababishwa kwa uwingi wa iron,copper na manganese, ni faida kubwa ikiwa asali itatumia katika matibabu ya anaemia inasaidia kuweka usawa wa haemoglobin katika red blood corpsles

Skin Disease asali pia husaidia katika wale wenye maradhi ya ngozi, pia husaidia kwa wale walioungua, Asali ukipaka katika mwili hurutubisha ngozi yako wala ngozi hiyo haizeeki mara moja pia ikiwa umeungua ni vizuri kupaka asali hapo hapo ndonda hupona mara moja na kovu huondoka

Oral Disease, asali husaidia kwa kuweka kinywa safi na cha afya. Paka asali siku zote katika meno na mafizi, inasafisha and kung'arisha meno, inasaidia katika kutoa udasi wa meno na pia husaidia uharibikaji wa meno na kutoka kwa meno pia hupigana na vijidudu vinavyoharibu meno. Kwa upande wa watu wenywe ulcer wachanganye asali na mdalasini kijiko kikubwa kimoja na anywe kila siku.

Matatizo ya macho Asali ni bingwa kwa ajili ya macho, Paka asali katika macho huzidisha nuru ya macho, pia husaidia katika matibabu ya trachoma, conjuctivits na maradhi mengine ya macho, kila siku paka asali kaika nje ya jicho na ndani ya jicho (kwa ndani ya jicho unaweza kutumia unyoya au wa kuku au ndege yoyote yule) kufanya hivo asali hupigana na kujilinda na maradhi ya glaucoma.

Asali
pia husaidia kwa matatizo ya cataract, chukua 2 grams ya maji ya vitunguumaji na asali uchange pamoja upake hii kwa wale wenywe immature cataract.

Matatizo ya matumboAsali ni muhimu kwa kuweka matumbo katika hali ya uafya, inasaidia kufanya digestion na kuepusha maradhi ya matumbo pia hupunguza hydrochloric acid ambayo husababisha kichefuchefu au kutapika pia husababisha kuumwa kwa moyo na pia hulainisha choo.

Old age asali husaidia kuleta ujoto na nguvu katika mwili wakati wa uzee. Kijiko kimoja cha asali au 2 katika kikombe cha maji ya yaliochemshwa (uvuguvugu) inasaidia na kutoa nguvu mwili.

Sexual Debility, Asali huzidisha hamu na huzidisha mbegu za kiume yaani sperm, asali inaaminika ni kmama magical yaani dawa ya maajabu huzidisha uzazi kwa mwanammke na huzidisha hamu kwa mwanamme (kwa wenye wake inawafaa hii) Hurudisha nguvu za kiume.

Source.Mzizimkavu
 
MAAJABU YA ASALI MBICHI

You are what you eat!
Licha ya sifa yake ya kuwa na utamu wa asili usio na madhara hata kwa wagonjwa wa kisukari, asali pia ni tiba ya magonjwa mengi, pia ni kinga ya maradhi yanayosababishwa na bakteria, fangasi na mengine mengi. Asali mbichi ndiyo bora zaidi kuliko iliyopikwa.

ASALI DAWA YA KIFUA KWA WATOTO
Uchunguzi wa hivi karibuni uliofanywa na Chuo kimoja cha dawa nchini Marekani, (Penn State College of Medicine), ulithibitisha kuwa asali inaweza kutibu magonjwa ya kifua, kikiwemo kikohozi kwa watoto wenye umri kuanzia miaka 2-18. Hivyo kwa mzazi kujenga mazoea ya kuwapa asali wanae ni jambo la busara.

ASALI DAWA YA KISUKARI
Ingawa watu wenye kuugua ugonjwa wa kisukari (type 2) huwa hawaruhusiwi kula vyakula vyenye sukari, lakini wanaweza kula asali kwani ni dawa kwa njia moja ama nyingine, kutokana na kuwa na virutubisho aina ya ‘fructose’ na ‘glucose’ ambavyo vinahusika na udhibiti wa kiwango cha sukari kwenye damu ambavyo havina madhara.

Aidha, inaelezwa kuwa ili ini lifanye kazi yake vizuri, linahitaji ‘mafuta’ ya kuendeshea na mafuta ya ini yanapatikana pia kwenye asali, hivyo kwa kutumiaasali iliyo bora utaweza kuimarisha utendaji kazi wa ini na hivyo kujiepusha na matatizo ya kiafya ya ini.

ASALI HUONGEZA KINGA YA MWILI
Asali pia inaelezwa kuwa na uwezo wa kuongeza kinga ya mwili. Utafiti uliofanywa katika hospitali kadhaa nchini Israel ulionesha mafanikio hayo kwa aslimia 64 ya wagonjwa waliopewa asali katika utafiti huo na hata asilimia 32 ya wagonjwa wa kansa nao walionesha matumaini mapya ya maisha baada yakutumia dozi ya asali.

ASALI DAWA YA VIDONDA
Tangu enzi na enzi, asali imekuwa ikitumiwa na mababu zetu kama chanzo cha nishati ya mwili, lakini pia katika utafiti wa hivi karibuni, imegundulika kuwaasali ina ewezo mkubwa sana wa kuponya vidonda vya aina mbalimbali kutokana na viambata vyake kuwa na uwezo wa kukausha maji haraka kwenye kidonda.

Aidha, virubisho vingine vilivyomo kwenye asali vina faida kubwa kwa wana michezo kwani huongeza nguvu na wana michezo wengi wamekuwa wakitumia vyakula vitokanavyo na asali au vyenye mchanganyiko wa asali na wameona mafanikio makubwa.

KIJIKO KIMOJA CH ASALI KINGA YA SIKU NZIMA
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi karibuni, asali ina uwezo wa kutoa kinga dhidi ya vidudu nyemelezi ambavyo husababisha magonjwa mbalimbali mwilini pale mwili unapokuwa hauna kinga. Hivyo kijiko kimoja cha chakula cha asali kikitumiwa kila siku huwa kinga tosha (antioxidants).

Kutokana na ubora wa asali, watu wenye ugonjwa wa kisukari aina ya pili (Diabetes 2), wanapotumia asali, utafiti unaonesha kuwa kiwango chao cha sukari kwenye damu hushuka na hivyo kushauriwa kutumia asali kwenye chai na milo yao mingine badala ya sukari nyeupe.

Kwa ujumla asali ina faida nyingi katika mwili wa binadamu, kwani ni chanzo kikubwa cha vitamini na madini. Inaelezwa kuwa asali ni chanzo kizuri cha vitamin B2, B6, madini ya chuma na manganizi (manganese). Anza sasa mazoe ya kula asali, ila hakikisha una pata asali halisi, siyo feki.

Source.Mzizimkavu
 
Back
Top Bottom