Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

[TABLE="width: 1040"]
[TR]
[TD="width: 306"]
Zingiber in herbal medicine

[/TD]
[TD="width: 304"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3"]
zingiber.jpg


Zingiber Officinale, better known as ginger root, is a warming circulatory stimulant and body-cleansing herb. It is useful in the treatment of many conditions including sinus congestion, sore throats, edema, digestive problems,nausea, motion sickness, arthritis, headaches, and coughs.

Ginger is an appetite stimulant and is often used in cooking. It has a warm, fresh taste that is peppery and spicy. Gingerbread gets its flavor from ground or powdered ginger. Many oriental dishes use pieces of sliced root. The scent of ginger is uplifting and comforting.

As a herbal remedy, ginger is often used to break up phlegm, reduce fever and chills, balance cholesterol, dry up runny noses, prevent nausea, stimulate circulation, ease muscular pain, increase bile secretions, promote sweating, stop diarrhea, ease abdominal bloating, regulate menstrual periods, and soothe morning sickness.

Ginger is known to stimulate kidney activity, which helps remove toxic wastes from the body. Ginger improves liverfunction by converting cholesterol into bile acids. Like garlic, ginger can help make blood platelets less sticky.

Ginger essential oil is good to rub on bruises and carbuncles due to its antiseptic properties. Ginger essential oil makes an excellent addition to massage oil, especially when treating arthritis and muscle pain. For best results combine with juniper oil and a carrier such as almond or olive oil. When used in massage, blood flow to the area increases dramatically.

Ginger is great for motion sickness and works better than over-the-counter products. Drink ginger tea or chew crystallized pieces before and during trips.

For cramps and menstrual problems, ginger tea may be used in a compress and applied directly to the abdomen. This method also helps relieve bloating and gas.

Traditional Chinese medicine has recommended ginger for over 2,500 years to treat abdominal bloating, coughing, vomiting, diarrhea, and arthritis. The Chinese people use ginger to warm the stomach, dispel chills, and reduce the toxicity of some other herbs.

Ginger is not recommended in the treatment of ulcers but may help prevent them. Ginger is an aromatic bitter that stimulates digestion and helps keep intestinal muscles toned. The use of ginger eases transport of materials through the digestive tract, lessoning irritation to the intestinal walls.

Ginger is a bushy, perennial plant that grows up to four feet tall. The plant likes rich, moist soil with good drainage. Native to tropical regions, ginger loves heat and humidity. In Georgia the plant can be grown in containers and moved indoors during winter. To start ginger, plant a fresh r

root with sprout end up and one eye just above the soil. Protect from high winds and low temperatures.
* Long-term use or high doses of ginger during pregnancy is not recommended. Inform your doctor if using ginger before surgery. Do not use in large amounts if you have gallstones or ulcers. Always dilute ginger essential oil before use. Always consult with a physician before using any herbal remedy.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
GINGER BENEFIT FOR MEN:
In addition to its potassium, magnesium and vitamin B-6 content, ginger is a good source of manganese. This trace mineral, found throughout the body, is essential to neurological health. By helping to form and trigger the release of the sex hormone testosterone, manganese is vital to your sex drive and sperm production. While the University of Maryland Medical Center states that it is rare to develop a manganese deficiency, having insufficient amounts in your diet may lead to infertility and erectile disorders



 
mzizimkavu kwakweli am happy to see ua doing this for help,na nimepata kitu from this,maelezo yako yakinifu juu ya hii tiba imenifurahisha mibinafsi thats what friends for,despite of all that still am in need na tiba ya kuondoa kitambi,nilishawah kuona thread moja ikielezea juu ya juice ya asali na mkwaju kuweza kuondoa mafuta ya kitambi,unasemaje juu ya ile,brief me on this ndugu,
 
habari zenu wanajamvi...naomba mnisaidien kwan nina kikohoz kikavu ambacho ni muda kinaanza na kuacha na kinajirud tena na kuacha.
 
Pole sana tiba ya kikohozi ziko nyingi anza na hii (tiba mbadala) chukua vitinguu maji ,vitunguu saumu,tangawizi,limao tangeneza juice ya mchanganyo huu afu changanya na Asali tumia kijiko kikubwa mara 3 mpaka utakapokuwa na afueni,kwa mtoto atumie kijiko kidogo
 
Pole sana tiba ya kikohozi ziko nyingi anza na hii (tiba mbadala) chukua vitinguu maji ,vitunguu saumu,tangawizi,limao tangeneza juice ya mchanganyo huu afu changanya na Asali tumia kijiko kikubwa mara 3 mpaka utakapokuwa na afueni,kwa mtoto atumie kijiko kidogo

asante GILO24
 
wakuu natafuta asali ya nyuki wadogo kwaajili ya dawa. kwa anayejua inapopatikana pls nipm
 
hbr za jion wana jf, naombeni ushauri kuhusu hii dawa mimi huwa nikiugua kikohozi inachukua hata zaidi ya miez 2 kupona licha ya kwenda hospital na kupatiwa dawa. Mara nying nikiona kama sipati nafuu kutokana na hzo dozi naamua kuchukua dawa nilioizoea ya kuchanganya asali na yai bichi la kienyeji na kunywa kama dawa ambayo huniponyesha. Sasa naomba kuuliza kwa wataalamu mimi ni mjamzito wa miez 5, je nikitumia hii dawa ya yai na asali ina madhara yoyote kwangu na kwa mtoto aliyeko tumbon! Maana nakohoa tangu mwez wa 5 nimeenda hospitali mara 3 na kupewa dozi tofauti ila bado sijapona. Pia mwenye kunipa ushaur mwingine wa kitaalamu nitashukuru sana.
 
hbr za jion wana jf, naombeni ushauri kuhusu hii dawa mimi huwa nikiugua kikohozi inachukua hata zaidi ya miez 2 kupona licha ya kwenda hospital na kupatiwa dawa. Mara nying nikiona kama sipati nafuu kutokana na hzo dozi naamua kuchukua dawa nilioizoea ya kuchanganya asali na yai bichi la kienyeji na kunywa kama dawa ambayo huniponyesha. Sasa naomba kuuliza kwa wataalamu mimi ni mjamzito wa miez 5, je nikitumia hii dawa ya yai na asali ina madhara yoyote kwangu na kwa mtoto aliyeko tumbon! Maana nakohoa tangu mwez wa 5 nimeenda hospitali mara 3 na kupewa dozi tofauti ila bado sijapona. Pia mwenye kunipa ushaur mwingine wa kitaalamu nitashukuru sana.
Mkuu.@NDIZI MSHARE Nani kakwambia kuwa ukila Asali wakati una mimba mtoto atadhurika? kunywa Asali na yai la kuku wa kienyeji, upate asali ya ukweli sio Asali iliyochanganywa na sukari itakuwa haifai . Asali weka kijiko 1 na changanya na yai la kuku wa kienyeji moja kunywa asubuhi kabla ya kula kitu fanya hivyo kwa muda wa siku 3 kila siku asubuhi na mchana na usiku utapona inshallah.
 
nashukuru kwa ushauri mzuri mkuu, mi nilikua sielew kama ina madhara au la. Nitafuata ushauri wako, nashukuru sana kwa kunifungua macho.
 
Mimi mwanangu anakohoa kwelikweli, tatizo ana allergy ya mayai tiba hii inakuwaje?
 
hbr za jion wana jf, naombeni ushauri kuhusu hii dawa mimi huwa nikiugua kikohozi inachukua hata zaidi ya miez 2 kupona licha ya kwenda hospital na kupatiwa dawa. Mara nying nikiona kama sipati nafuu kutokana na hzo dozi naamua kuchukua dawa nilioizoea ya kuchanganya asali na yai bichi la kienyeji na kunywa kama dawa ambayo huniponyesha. Sasa naomba kuuliza kwa wataalamu mimi ni mjamzito wa miez 5, je nikitumia hii dawa ya yai na asali ina madhara yoyote kwangu na kwa mtoto aliyeko tumbon! Maana nakohoa tangu mwez wa 5 nimeenda hospitali mara 3 na kupewa dozi tofauti ila bado sijapona. Pia mwenye kunipa ushaur mwingine wa kitaalamu nitashukuru sana.

Pole sana dada,kwanza kama unafanya kazi au kuishi mazingira ya vumbi au una mzio wa kitu flani katika mazingirra yako...Tatizo kama la kwako nilikuwa nalo na lilinisumbua sana kwa miaka 3...ukienda hospital unaambulia mionzi ya x-ray mwishowe wanajibu hakuna kitu..Nilishawahi kwenda hospital ya Elembula mara 2 na zote hizo ni x-ray ya kifua pia nikaenda rufaa mbeya bado ikawa magurumashi tu.

Tatizo lilikuja kuisha baada ya kusimamisha kazi ya kufundisha...Hivyo kuna chanzo kinachosababisha tatizo lako,chunguza ujue uepukane nacho ili kisilete madhara baadae ktk mfumo wa hewa
 
nashukuru sana mkuu the hammer m cjawah kufanyiwa x-ray ila mazingira nayoish ukwel yana vumbi sana, inawezekana hii ikawa ndo chanzo kikubwa. Nitajitahidi kufanyia kazi ushauri wako.
 
Kiini cha yai la kienyeji,kitunguu swaumu punje mbili zilizosagwa,asali orijino kijiko kimoja kikubwa na mafuta ya simba kama unayo unayayeyusha kiasi kidogo. Changanya na unywe kijiko asubuhi na jioni cha chakula
 
Ndugu niko nje ya Bongo ila siku moja huku ninakoishi nikiwa nimekwenda kwenye duka la dawa kununua dawa hizo nilizoandikiwa na daktari basi nilimkuta pharmacia mmoja amekaa sana TZ ingawa sio MTZ anaongea kiswahili vizuri tu sasa kwa kuwa mara nyingi tulikuwa tukikutana tunasalimiana basi mwenyewe tu nikajisemea aa hizi dawa kila siku zitakuja niua maana hazinisaidii ni bandika bandua tu. Basi akaniuliza kwani una shida gani nikwamelezea. Akaniambia kuna mama mmja yeye ni mtaalamu wa magnjwa ya ngozi hii ni kwa sababu pamoja ya kuwa nilikuwa nakohoa (nilitoka vipele kama vichunusi usoni ambavyo vilikuwa haviishi halavu vinaniwasha sana hasa kukiwa na hali ya joto pamoja na kutumia dawa mbalimbali bado tatizo likawa linazidi na pia nikawa nasumbuliwa sana na macho yananiwasha vibaya mno hasa wakati wa kiangazi nilimwona mtaalamu wa macho akanipima aknambia sina shida labda vumbivumbi akanipa dawa pia akaniambia niwe nasafisha macho na maji baridi sana kila yanaponiwasha nafuu ilikuwa kidogo sana.

So yule pharmacia akaniambia ukitaka kumuona binafsi (yaani sio ile ya hospitali) lazima umtafute akupe appointment ana hospitali nyumbani kwake private. Na ameshasaidia watu wengi ukikwama rudi niangalie jinsi nyingine ya kukusaidia. So akanipa namba yake nikamtafuta akanipangia siku nikaenda kumwona. tena kufika kwake akaniuliza nani kakupa namba yangu maana sio rahisi watu kujua na mara nyingi anakuwa Afrika Kusini, so si unaona kuwa ilikuwa bahati yangu na Mungu alikuwa ameamua kutenda kazi yake waliyoshindwa wengine.

Baada ya kumpa historia yangu na kumwonyesha mapito yote niliyopita ndipo akaniandikia vipimo baada ya majibu kutoka ndipo ikagundulika nina strong allege ya vumbi akaniambia hata hicho kikohozi nafikiri ni tatizo hilihili kwenye vyakula vingine ilikuwa ok na vipimo vingine ilikuwa ok na akaniambia hizo dawa ulizokunywa stop zitakuumiza yeye akaniandikia kutumia anti allegi ambazo kwa kweli baada ya fifteen days skini problen ikawa imekwisha na tatizo la macho likawa limepungua lakini kikohozi kikadunda nikarudi tena akasema hawezi kuniandikia dawa zingine kwa sababu anachojua tatizo langu ni vumbi nijitahidi niepukana na mavumbi, tena akaniambia na yeye ana hiyo shida ya allege ya vumbi aliwahi kuhangaika sana alipokuwa anasoma South Africa maana mganga hajigangi basi daktari akamwambia "unauhakika nyumbani kwako hakuna vumbi hata darini akwambia ha zikuwahi kuwazia kutoa vumbi darini basi anasema siku aliyotoa mavumbi kwenye dari ndio na shida yake ilipokoma.

Kwa kweli kuanzia hapo niliona kama kuna kitu kimeni-click kwenye nafsi yangu unajua kuzaliwa na tumaini jipya na furaha unayokuwa nayo moyoni tena hasa pale unapojua kinachousibu ni nini kwa kweli nilikuwa na amani na tumanini jipya!! ingawa kikohozi kiliendelea kunisumbua na tena ndio kilikuwa kinakomaa. nikaenda sasa kwa mtaalamu wa magonjwa ya vifua baada ya vipimo kuonyesha sina shida akanibadiliishia anti allegi na madawa mengine kibao vikadunda naye akasema aha dawa zitakuumiza sina jinsi akanipa bloncoline syrup ambayo nilikuwa nimeitumia mpaka basi. Siku moja nakumbuka nilikohoa sana usiku mpaka asubuhi naamka niko hoi basi nikaenda tu kwenye hosipitali ya karibu hizi za private nikamkuta dk. nikamwelezea anicheki akasema sina shida inaonekana hiyo allegi ndo inakusumbua sasa nikwambie uwe unakunywa maji mengi kila siku kadri uwezavyo akanipa dawa moja nakumbuka inaitwa neocodine kama sikosei inaleta usingizi ni balaa baada ya kuitumia hiyo dawa na kikohozi kipo nikajisemea aha yote ya nini sinywi dawa tena mimi ni maji na matunda tu kuanzia leo. Basi kuanzia hapo matunda, mboga, maji bila kikomo na tena nikikuta hawajanunua nakuwa mgonvi nawaambia hivi hamuoni ninavyohangaika. Basi ndo matokeo niliyowaeleza hapo juu.

Kwa hiyo na mimi sitaacha kumkumbuka dk. aliyegundua nina alegi ya vumbi, yule pharmacia aliyenipa namba na ushauri wa kunywa maji kwa kweli wabarikiwe. Na mimi naamini rafikio atapona kwa uweza wake Mola asikate tamaa na amwamini Yeye muweza yote la msingi afatilie vipimo kwa umakini maana naamini unapojua nini kinakusumbua ndipo na ufumbuzi unapatikana na pia unakuwa na tumaini. Shida huwa inakuja usipojua nini kinakusumbua huku ukiendelea kubadilisha dawa kila kukicha Mwisho wa siku una faint wakikuokota watakwambia maini, figo vimeharibika kumbe chanzo ni zile dawa mtu ulizokuwa unakunywa kila kukicha bila tahadhari.

Nimeyapenda maelezo yako
 
Back
Top Bottom