Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

Karanga ni mojawapo ya nafaka muhimu kwa afya ya binadamu. Huweza kutumika kama chakula, mafuta, kiungo na hata kwa ajili ya urembo.

Zao hilo huweza vile vile kufanya maajabu katika ngozi.Bila kubagua jinsia, matumizi ya karanga husaidia katika kuondoa makunyanzi na kulainisha ngozi.

Kwa kazi hii ya ngozi, karanga zinazohitajika ni zile mbichi. Kitu kinachohitajika ni kuchukua karanga mbichi ambazo hazijakaangwa kiasi kidogo kama kikombe kidogo cha chai.

Zianike karanga juani kwa muda ili ziweze kumenyeka kwa urahisi bila kukaanga. Saga karanga zako kwa kutumia blenda au kitu chochote kitakachoweza kuzilainisha na kuwa unga laini.

Chukua unga wako wa karanga na uuchanganye na asali mbichi kiasi kidogo, kisha acha kwa muda wa dakika 10 ili vichanganyike. Chukua mchanganyiko wako, kisha paka usoni hasa zile sehemu unazoziona kuwa na mikunjo zaidi.

Subiri kwa dakika kama 10, kisha osha uso wako na sabuni isiyo na kemikali baadaya hapo futa uso wako na kitambaa kisafi na kikavu. Subiri tena kwa dakika 5 halafu paka mafuta au losheni.Unashauriwa kufanya hivi mara moja kwa wiki.

Kiasili njia hii imekuwa ikitumiwa na Wanyamwezi wa Tabora kama kipodozi kwa ajili ya mabinti wadogo pindi wanapokaribia kufanyiwa sherehe maalum.
Unaweza pia kusugua taratibuuso kwa kutumia mchanganyiko wako ili kuondoa takataka katika mwiliwako ambapo baada ya kumaliza zoezi hilo unaweza kujipodoa kwa kupaka aina nyingine za vipodozi.

Kwa kuwa hazina madhara, unaweza kufanya hivi kila siku na utafurahia matokeo yake.

Source: Mwananchi.

Mpendao ngozi zenu kazi kwenu mshindwe wenyewe tu!
asali-100x100.jpg
 
Wadau naomba kwa yeyote anaejua matumizi ya asali ya nyuki wadogo na matumizi yake anieleweshe tafadhali...natanguliza shukurani
 
Inaondoa CHOLESTRAL mwilini hasa inapochanganywa na limau
Jinsi yakufanya: Chukua Asali ya nyuki wadogo vijiko kama viwili na nusu weka kwenye kikombe cha chai. Changanya na maji ya moto kiasi au uvuguvugu...weka juisi ya liamu kiasi cha nusu glass changanya kwenye hayo maji yenye asali. Inasaidia kuondoa Kolestral mwilini utumiapo mara kwa mara. Pia unaweza tumia kuondoa sumu mwilini. Inafanya mtu anakuwa slim
 
Mbona hta asali zingine zinamatumizi hayohayo?
 
Wakuu habari zenu!

Tafadhali naomba kwa wenye utaalamu wa kutambua asali mbichi naomba wanifahamishe jinsi inavyokuwa au sifa yake kuu. Nataka ninunue ili niitumie kama tiba kwa ugonjwa wangu.Nimepita sehemu zinazouza nimeshindwa kutambua asali mbichi ni ipi na iliyopikwa ni ipi na kila muuzaji anasema anauza asali mbichi! Ahsanteni
 
Mkuu, Kwanza kitaalamu asali mbichi ni ile ambayo haijakomaa na bado ipo ndani ya masega nyuki wakiendelea kuiandaa (inapatikana kwenye vyumba vya asali kwenye sega ambavyo havijawa sealed kuzuia ongezeko la maji na uchafu). Kibiashara, watu wanasema asali mbichi kuitenganisha na ile ambayo imechemshwa wakati wa kutenganisha asali na masega. Kawaida, asali iliyochemshwa inakuwa na harufu ya moshi au kuungua kwa mbali na inakuwa na rangi nyeusi isiyo ya kawaida, pia kiwango cha HMF (Hydroxymethlyfurfural) kinakuwa juu (Inashangaza TBS na TFDA hawana mashine za kupimia HMF!!). Kukusaidia kupata asali ambayo haijachemshwa inategemea upo pande zipi, kwa DSM, Arusha au Mbeya ningekuunganisha na wauzaji wa asali ya uhakika. kingine mkuu, njia nyepesi za kujua asali iliyokomaa ni pamoja na kulowesha njiti ya kiberiti na asali then unaiwasha, ikiwaka hiyo asali ina kiwango cha maji chini ya 19% isipowaka hiyo asali ilivunwa ikiwa haijakomaa au imeongezwa vitu vingine. Pia ukiimimina halafu ukaikata, inatakiwa iache kama kauzi, isikatike kama maji. Ukiwa na lolote kuhusu asali niulize ntakujibu.
 
Mkuu nashukuru kwa ushauri wako wa namna ya kuitambua asali mbichi; nitaufanyia kazi ushauri huo.
 
nadhan kwa dsm kupata asali mbich ni vigumu sana ila kwa mm nafahamu asali mbich inakua kama inauchafu ivi
 
Wakuu habari zenu!

Tafadhali naomba kwa wenye utaalamu wa kutambua asali mbichi naomba wanifahamishe jinsi inavyokuwa au sifa yake kuu. Nataka ninunue ili niitumie kama tiba kwa ugonjwa wangu.Nimepita sehemu zinazouza nimeshindwa kutambua asali mbichi ni ipi na iliyopikwa ni ipi na kila muuzaji anasema anauza asali mbichi! Ahsanteni
Mkuu Ukitaka Kuitambuwa Asali ni Feki au ni ya Ukweli Fanya hivi

Njia ya kwanza : Weka maji kwenye glasi na kisha

mimina Asali na Asali ikikaa chini ya glasi bila kuchanganyika na maji basi hiyo ni Asali ni Asilia na inakuwa haijachanganywa na chochote inakuwa ni Asali ya Ukweli.

Njia ya pili ni kuiweka Asali kwenye njiti ya kibiriti na kisha kuiwasha hiyo njiti ya kibiriti ikiwa

njiti hiyo itawaka basi Asali haijachakachuliwa kwa kuchanganywa na chochote lakini ikiwa njiti ya kiberiti isipowaka inakuwa ni Asali feki. Jaribu hivyo kisha uje hapa utupe feedback.

Bibie hujambo lakini?
 
Mimi ninayo nimeichukulia singida manyoni nitafute nikuoneshe kama kweli unaihitaji.(0714641499). Niko serious kama kweli unahitaji pia asali ya nyuki wadogo inawza kupatikana kama utahitaji
 
Mkuu Brightman Jr imeshakuwa hivyo lakini? Ahhhhhh Sawa tu lakini.

Mkuu nilifikiri itakuwa hivyo lakini mambo yamekwenda kinyume badala yake mie ndo nimerudi hapa muda huo! Tehe.... tehe.... tehe... Infact nashukuru kwa maelekezo mazuri yaani kukipambazuka tu lazima niingie sokoni na mlongo wa kuuza asali feki lazima aumbuke.! Nashukuru Mr MziziMkavu.
 
Last edited by a moderator:

wewe ni Mchoyo

nimekujibu na kukusaidia basi hata kunipa (Like) Umeshindwa una roho mbaya wewe. Tafadhali usiende kwenye wanaouza

Asali Feki ukawaharibia Biashara zao. Wewe ukigunduwa kuwa hiyo Asali anayouza ni feki nyamaza kimya. Nenda sehemu

nyingine kanunuwe Asali usiharibu Biashara za Watu tafadhali.
 
MziziMkavu nafikiri kuna tatizo la mtandao; wote waliochangia thread yangu nimewapa LIKE isipokuwa kwa wachangiaji wawili compyuta yangu hairespond, nimeshindwa kuelewa hapo. Subiria feedback baadaye ambayo nitaileta hapa baada ya uchunguzi wangu nitakaoufanya kwa hekima na busara kubwa bila kuwaharibia watu biashara zao. Ahsante!
 
Last edited by a moderator:
nadhan kwa dsm kupata asali mbich ni vigumu sana ila kwa mm nafahamu asali mbich inakua kama inauchafu ivi

Mkuu asali nzuri sana pia inapatikana DSM. Kama upo DSM pita pale wizara ya Maliasili na Utalii nenda moja kwa moja ofisi za uhasibu kuna mtu namfahamu pale anazo asali best za nyuki wakubwa na wadogo.
 
nadhan kwa dsm kupata asali mbich ni vigumu sana ila kwa mm nafahamu asali mbich inakua kama inauchafu ivi

Mkuu ni kweli unayosema, DSM wajanja wengi na wanajua watu wengi hawajui properties za asali, lakini huo unaoona kama uchafu ni usanii wa kibiashara tu! Wanaweka vipande vya masega kuonyesha kwamba ni asali ambayo haijachemshwa. Siku ukitumia asali ambayo haijachakachuliwa hutakaa uache, hasa iliyotoka kwenye misitu ya Miombo sababu utapata ladha halisi ya asali. After all asali bora ni ile isiyo na uchafu au particles nyingine zozote
 
Back
Top Bottom