Matumizi sahihi ya Dabo indiketa, gia L,2,3 na O/D katika gari za Automatic

nimetafuta ma -like sijaona wacha nikupe manual mkuu nimeilaiki mbaya gdnyt kama uko bongo morning na etc ka ushatutupia ganda chooni
 
Katika gari zingine kuna N/P ukipress P kwenye Dashbord inawaka POWER hii inasaidia nini na inatumikaje?

Salama Fred?
Kitufe cha Power kinatumika wakati unataka kumaintain speed over 140 sin chini ya hapo na pia maana yake ingine inakuwa katika full power na ulaji wa mafuta itakua inabugia sio kunywa so tumia hiyo button kama una haraka, huna tatizo na buget na pia hakikisha we ni dereva mzoefu barabarani na unauhakika na gari yako maana itakimbia speed to its maximum na siku zote mi huwa nashauri nenda mwendo unaoweza kuumudu na ukiwa over 140 usiongee na abiria wala kupokea simu yaana nashauri hata earphone usitumie maana hapo inatakiwa very high maximum concertration of your brain and skills pia mikono yote miwili iwe kwenye usukani na kabla ya safari umecheck mambo yote muhimu km matairi/umepima upepo na lazima Kiwango cha upepo kiwe sawa Kwa pande zote japo si lazima mbele iwe sawa na nyuma kutegemeana na aina ya gari lakini pia na aina ya mizigo au matumizi ndo maana sisi wakulima unajaza zaidi nyuma shauri a kubeba mikaa, kusomba Maji, kuni n.k na hakikiasha walau kila wiki unapima upepo tairi zote tano.



+255 715/764/784 800989
 
Mkuu kwa hiyo kwenye njia panda unatakiwa uwashe nn wakati unaenda moja kwa moja kama sio hizo hazard light?

Usiwashe chochote we angalia kushoto na kulia kama salama pita tu


alfredmkohiatgmaildotcom
 
Asante kwa kuniulizia swali hilo. Ila mimi huwa sibonyezi hicho kitufe hivyo huwa hiyo taa haiwaki. Sijui kama huwa niko sahihi au la!


Uko sahihi mkuu, isipo waka maana yeke iko ON


alfredmkohiatgmaildotcom
 
Hakuna kitu kwenye gari kinaitwa 'dabo indiketa', nafikiri ulimaanisha HAZARD LIGHT, but YES, they are for emergency as the name describes. Waendesha magari wasio madereva huwasha kwenye njia panda wakidhani ni kiashiria cha kwenda moja kwa moja.


Mwana mtoka uu uzi ulikuwa katika Kiingereza na hata kwangu ilikuwa rahisi sana kuelezea ila kuna mdau ukiangalia ule wa kiingereza aliniomba niandike Kwa kiswahili ili uwe na manufaa Kwa sote na ndo maana hata ukiusoma bado utakuwa maneno mengi yamechakachuliwa hehehe

Kiswahili kigumu jamani, tukubali tu haza katika technologia




alfredmkohiatgmaildotcom
 
nimetafuta ma -like sijaona wacha nikupe manual mkuu nimeilaiki mbaya gdnyt kama uko bongo morning na etc ka ushatutupia ganda chooni

Hahaha nashukuru Basiasi Kwa Shukrani na kuonyesha ushirikiano, tupo pamoja kaka.
JF is everything ila kama tutaitumia vizuri.


alfredmkohiatgmaildotcom
 
Wakina yakhee kama sisi tusiojua kuendesha kazi tunayo
 


Mkuu ubarikiwe sana kwa kututoa tongotongo sisi tuliojifunza kuendesha kwa style ya voda fasta. Wengine tulifundishwa asubuhi jioni tukawa barabarani. Munto obligado!!
 

Mkuu akohi kula tano kwa elimu uliyoileta wakati wake haswa...
unajua wengi tumejifunza na kuanza kuendesha manual.
Tulipopata Automatic cha msingi tuliangalia D,R,P na N tulipopata maana ya maneno hayo tukaingia bara barani na kuchapa mwendo. Pia driving schools nyingi bado wamekomaa na Manual hawatoi elimu sahihi ya gari anayotarajia kuendesha mteja wao.

Elimu ya msingi niliyopata hapa ni kwamba kumbe naweza kubadili gia toka D Kwenda L2 au hata 1 gari ikiwa kwenye mwendo, mathalan nilikuwa nashuka kwenye kilima kikali gari ipo kwenye spidi ndogo nataka sasa kurudi kwenye D. Kabla nililazimika kufunga breki then nabadili gia kwa kudhani ni makosa kubadili gia huku gari linatembea....LoL...

Kwenye bold nina swali...nini maana ya hizo RPM?? and how to culculate kwani gari yangu ina hiyo speedmeter tuu (0 -180).

 
Asante sana mkuu, hayo ndio mambo ambayo wakati mwingine tunahitaji kuyapata humu jamvini. Wengine tunajua kuendesha tu, mambo mengine hatuyafahamu na ndio maana mafundi wanatufanya matutusa.
 
Asante kwa somo , ila sijui sijakuelewa vizuri, ina maana 2,3 na L zote zinafanya kazi moja? najua mojawapo ni kama unapita sehemu ambayo kuna utelezi, nyingine kwenye mteremko n.k naomba ufafanuzi tafadhali
 


Asante sana mkuria Kwa Kuwa mkweli na muwazi kitu ambacho wengi wetu hatukubali kusema Kuwa sikuwa najua namna ya ku endesha hizi autos na hata Mimi Nina marafiki, ndugu jamaa wengi ambao siku zote huamini Kuwa wanjua kila kitu, anyways ni ubinadamu, nirudi ktk swali lako la msingi kuhusu RPM ni kwamba inamaanisha Revolution per Minute ambayo maana yake halisi ni mzunguko wa injini husika Kwa dakika 1 sasa ukiona iko kwenye 1000rpm maana yake injini inazunguka Mara hizo ndani ya dakika 1 na si gari zote hasa za zamani ambazi dashboard yake ina onyesha RPM, ni makosa maana ice ndo inakusaidia kujua namna ya kusave fuel concerption japo wengi hasa mafundi huskiliza muunguruno wa injini then can Tel Kuwa silencer iko juu ipunguzwe au iko chini iongezwe.

Ndio huna haja ya kusimama ili ubadilishe toka D kwena L, 2,3 au kinyume chake ila hakikisha speed sin zaidi ya 40au 60kph



alfredmkohiatgmaildotcom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…