Matumizi sahihi ya dawa za kupunguza makali ya VVU yanaondoa kabisa uwezekano wa kumuambukiza VVU mwenza wako wa kingono

Joined
Apr 28, 2017
Posts
30
Reaction score
73
Ukiwa unaishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU) na ni mtumiaji mzuri wa dawa za kupunguza makali ya VVU, na kufikia kiwango cha kufubaza virusi vyote, kitaalam undetectable viral load, na ukawa unaendelea kutumia dawa za kufubaza virus -ARVs, basi jua huwezi kabisa kumwambukiza mshirika wako wa kingono virusi vya Ukimwi, hii inaitwa U=U, yaani UNDETECTABLE=UNTRANSMITTABLE
 
Hapo ungefafanua vizuri haya maelezo yako usijekuwapoteza watu.

Je ni matumizi mazuri tu ya dawa au kuna masharti mengine ya ziada inabidi mhusika ayafuate?
 
ukitumia vizuri ukafikia undetectable levels za viral load, na bado ukaendelea kutumia dawa huwezi mwambukiza mwenza wako wa kingono, hamna kitu kingine zaidi ya hapo
 
Back
Top Bottom