Matumizi ya android tv box

There's a reason why HTPC sio famous tena sikuhz. Sababu TV boxes ni more convinient na straight to the point na ni bei rahisi pia. Kma unataka ku stream videos, kuangalia movies na kucheza simple games TV box makes more sense economically kuliko PC. User experience ya TV box ni bora sana kuliko PC or HTPC. Nna uhakika OP aliuliza kujua TV box ipoje sabab aliona ni bei rahisi kuliko kuchukua PC na kuchomeka kwenye TV
 
Gadgets kama hizi zipo kibao lakini sio kwaajili ya kila mtu. Kuna watumiaji wanaopenda manouver ndio wanaoenda vitu kama hivi. Kitu ili kiwe popular kinahitaji kurahisishwa kwanza halafu mambo ya bei ni baadae.
 
Htpc imemezwa na gaming na sio kwamba imeondoka. Watu wengi wananunua xbox one s as media centre. Watu wengi wanatengeneza gaming pc kuliko wakati wowote ule.

Xbone s ina Kodi, netflix, youtube, mlango wa cd etc pengine ni moja ya media centre za kihalali ambayo ipo complete zaidi.

Na hakuna anaekataa kwamba Android tv box ipo convinient zaidi ila ndio kwa watu wasiotaka mambo mengi,

Na user experience i beg to differ, well made htpc inakupa experience nzuri na interface nzuri kuliko tv box. Umeshawahi kutype na tv box? Experience ipoje?
 
Kutype ni jau. Kma HTPC tu unaweza connect wireless keyboard ukatype.
 
Hiv naweza nikiwa na ungo na decoder(i.e azam) , nikaangalia TV kwenye PC (laptop)
 
Naomba mwongozo jinsi ya kuinstal Android kwenye Pc mkuu
 
ukisha nunua android tv box niambie nikuelekeza jinsi ya ku-dowload repository kali kupitia Kodi
 
Hiv naweza nikiwa na ungo na decoder(i.e azam) , nikaangalia TV kwenye PC (laptop)
Kuna namna mbili.
1. Nunua tv tuner, ni tech ya kizamani bado ni analog ila ni rahisi, kkoo unaipata 50k ama rahisi zaidi.

2. Nunua dongle ya Hdmi kwenda USB, ni ya kisasa digitali sema bei ghali pengine ifike laki 1 ama zaidi.
 
Hiv hizo android TV box ni sh ngapi average price?
Ukiagizia Aliexpress Mi stick ambayo inatosha kwa Full HD streaming ni around 70,000.

Kama unaagizishia kenya niliwahi ona kwa 95,000

Hapa kwetu jiandae around 120k mpaka laki 2.

Usije ukanunua zile za kichina china zisizo na Android tv.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…