Mkuu Android tv ni ya juzi tu, HTPC (Home theatre pc) zipo miaka na miaka kuna case zake zinakuwa na Display kwa mbele na infrared.
Na sababu ni pc unai customize kutokana na unachopenda mfano kama we ni mtu wa muziki unatafuta sound card ya maana, kama ni movies unatafuta mlango mzuri wa cd wenye hadi bluray etc.
Na pia upande wa software windows inazo nyingi za tv, kama Kodi, windows media centre, etc
Na uzuri wa hizi software unaweza tumia kwa gamepad, mara ya kwanza unafanya configuration na mouse na keyboard, then baadae ikiwa kwenye tv unatumia tu pad.